Fursa ya biashara kwenye mafuta ya alizeti

Habari wapendwa.

Naomba kwa yeyote anayejua bei ya alizeti kwa dumu la Lita 20 kwa maeneo ya Singida kule yanakokamuliwa na siyo kwa wachuuzi.
 
Habari wadau..nataka kuanza biashara ya kuuza mafuta ya alizeti, mpango wangu ni kuchukua mafuta kwenye viwanda vidogo vidogo singida au dodoma...na kuyapeleka mwanza na dar, ambapo nitakuwa nauza kwa jumla na rejareja....naombeni msaada wenu kwa anayejua bei ya mafuta kwenye viwanda hivyo kwa 1lt, 3lt, 5lt au 10 lt na pia kwa atayenielekeza mahali viwanda vilipo atanisaidia sana...mbali na hayo nakaribisha wazoefu wa hii biashara kwa ushauri....mimi ni mlw nayesubiri ajira ambazo hazieleweki hivyo nimeamua kuwa na mawazo ya kujiajiri
natanguliza shukrani
 
Teacher fanya michakato yako utakapokuwa tayari kuanza nipe deal ya kusafirisha mzigo wako in both ways. Lakini ufanye na research kwa wengine ili utakaponichek uwe na reference utakaponieleza ukweli utanisaidia nami nitakusaidia kwa hakika. Karibu
Wasalaam
 
Tafadhari tuma namba yako ya simu tuweze kuwasiliana.
Niko Babati ni mjasiria mali nina kiwanda cha kukamua alizeti!!
0755764394
0782023919
0752561552
Ubarikiwe!!
 
Teacher fanya michakato yako utakapokuwa tayari kuanza nipe deal ya kusafirisha mzigo wako in both ways. Lakini ufanye na research kwa wengine ili utakaponichek uwe na reference utakaponieleza ukweli utanisaidia nami nitakusaidia kwa hakika. Karibu
Wasalaam
ahsante mkuu...mambo akiwa tayari nitakujuza nadhani next week....ila sitaanza na mzigo mkubwa sana si unajua ndo first mkuu
 
Back
Top Bottom