Fursa wahanga wa ajira

Fursa wahanga wa ajira

Mrejesho, baada ya post kuhusu kuanzisha group la vijana ili kuweza kujikwamua kiuchumi mwaka Jana mwezi wa 3 au 4 wengi walishawishika na kujiunga na link ya group la WhatsApp lakini kati ya hao wengi ni wa5 tu ambao tulikuwa seriaz na kujua nini tunataka kufanya tumefanikiwa kuanzisha group letu wote tumekutana humu humu tunakatiba inayotuongoza tumefungua account ya group na mpk sasa tuna zaidi ya million nafikiri karibu tunaweza kuanzisha miradi mikubwa zaidi, lengo la kuleta mrejesho ni kufanya member wengine wa Jf muamini hii kitu inawezekana haswa wote mkiaminiana na kuwa na lengo moja group letu tumelipa jina Jf youth group nafikiri link bado ipo bado tunahitaji member zaidi kwa wote ambao mtakuwa interested mnaweza kujiunga kwenye group letu la WhatsApp kupitia link hyo nafikiri mtapata maelezo mazuri zaidi na kujibiwa maswali yenu. Karibuni sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom