21 February
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 3,299
- 2,843
Wazo zuri hili jamani
Tuma link tujiungeKwa wale wataoitaji kuhunda kikundi watumie namba zao humu , Nitatengeneza group la what's app
Kwa wa mikoani jeKwa wale wataoitaji kuhunda kikundi watumie namba zao humu , Nitatengeneza group la what's app
Ukihitaji kufanikiwa lazima u take risk,let's tryNataman kuanzisha kikundi kiwe km taasisi fulani, tukaenda serikalin hata taasisisi binafsi wakatupiga tafu tufungue miradi yetu, sasa tatizo ni uaminifu
Hahahhah nilichanga Laki nzima aiseee, kila siku mikwara mara sijui hivi mara vile Aaaghh Niliachana nao na laki yangu WakalaHivi ile kitu iliyianzishwa na askofu Silvester Gamanywa iliishia wapi!
Mbona hii link inagoma
Inafunguka....ikizingua nenda open with....... ItafungukaLink inagoma mkuu
Link inagoma manInafunguka....ikizingua nenda open with....... Itafunguka
Dr. Sui Wa wapi na ni kama nani mkuu maana kuna wengine hatumjuiKuna fund serikali hutoa kwa vijana wakiwa vikundi mm nliwah fatilia wizara ya vijana nkapewa utaratibu lkn ckuendelea mkiwa wachache wenye nia nendeni mkamuone dr. Kisui yuko vizuri sana anatia moyo pale ofisini kwake karibu na serena hotel
Hizi link zinagoma tuMAFANIKIO JF fungua tena
Nenda open with inakubalHizi link zinagoma tu
Hata haileti hiyo option ya open withNenda open with inakubal
Nakutumia screen shortHata haileti hiyo option ya open with