Fursa wahanga wa ajira

Fursa wahanga wa ajira

ntawi hussein

Member
Joined
Apr 8, 2018
Posts
35
Reaction score
15
Kuna kipindi kuna watu walijiorganize wakatengeneza group wakakutana na kuanzisha fursa mbalimbali zitakazowainua kiuchumi mie sikuweza kuendelea kutokana na sababu za kiuchumi anayekumbuka akawa miongoni mwao tunaomba feedback.Na kwa ambao wanahitaji kujiorganize coz ni wasomi kila mtu ana ujuzi wake na amini tukiungana tukaanzisha fursa za kujiajili tukachanga mtaji wenyewe na kufanya kitu tunaweza kujiondoa ktk uhanga wa ajira na kujiinua kiuchumi kwa kujiajiri wenyewe muhimu ni kujitoa na kuwa na subira.interested karibuni tujadili
 
Duuh!! Nakumbuka hiyo kitu sijui ilifia wapi?
 
Duuui majanga matupu sijui niseme mwenyekiti alikua tapeli ??
 
Ile issue ya gamanywa watu walipigwa laki laki zao kama ada ya mafunzo na ahadi kedekede kumbe alikuwa anategemea kupeleka proposal bank ndo apate mkopo wa mil 200 mradi wa mashamba uanze ikashindkana zkaanza mbwembwe tu mpaka leo kimyaaaaaaa hata hawasemi lolote.
 
Kuna fund serikali hutoa kwa vijana wakiwa vikundi mm nliwah fatilia wizara ya vijana nkapewa utaratibu lkn ckuendelea mkiwa wachache wenye nia nendeni mkamuone dr. Kisui yuko vizuri sana anatia moyo pale ofisini kwake karibu na serena hotel
 
Tumfate Nani pm ili atuorganize Ila tusijejuta kumfuata Ni fursa nzuri hii.
Tunaweza kutengeneza group la WhatsApp tukajadili tukakutana tusiwe wengi sana na hata kama tukiwa wengi tujigawe kimagroup lakini tunaweza kushirikiana tunaweza kuwa na viongozi na kila mwanachama lazima atoe cv yake ikionyesha physical address na contact zote vile vile kwny maswala ya pesa tusikubali ashike mtu, all in all kila kitu kinawezekana cha muhimu ni kujicommit na kuweka sheria ambazo ni muhimu kufatwa uaminifu pia unahitajika
 
Kuna fund serikali hutoa kwa vijana wakiwa vikundi mm nliwah fatilia wizara ya vijana nkapewa utaratibu lkn ckuendelea mkiwa wachache wenye nia nendeni mkamuone dr. Kisui yuko vizuri sana anatia moyo pale ofisini kwake karibu na serena hotel
Kama tutafanikiwa ktk hili nahisi unaweza kuwa na msaada kwetu
 
`'Kiswahili.''

NATAFUTA KAZI YA UDEREVA.

Kuanzia gari ndogo mpaka Gari za kubeba mizigo tani 30.

SIFA.

1. NINA LESENI YANYE MADARAJA A,B,C1,C2,C3,D,E.

2. ELIMU KIDATO CHA SITA.

3. NINA UWEZO WA KUZUNGUMZA NA KUANDIKA LUGHA TATU. ENGLISH, SWAHILI, SPANISH.

4. NINA UWEZO WA KUTUMIA COMPUTER, KUCHAPA KAZI KWA KASI SANA, MICROSOFT WORD, EXCEL, PUBLISHER. NA NYINGINEZO.

5. NINA UWEZO WA KUTUMIA TEKNOLOJIA YA GPS NA KUSOMA RAMANI.

6. NINA UWEZO PIA WA KUTAFSIRI LUGHA MBALI MBALI KUTUMIA TEKNOLOJIA.

7. NINA UWEZO WA KUANDAA NA KUANDIKA TAARIFA YOYOTE RASMI. MFANO, AGENDA ZA VIKAO, BARUA RASMI, NA NYINGINEZO.

8. NINA UWEZO WA KUFANYA MATANGAZO NA MAUZO KWA NJIA YA MITANDAO.

9. UWEZO WA KUFANYA MATENGENEZO MADOGO MADOGO KWENYE GARI HASA YA DIÉSEL.

10. MBUNIFU SANA NA MCHAPAKAZI.

11. SINA TAARIFA YOYOTE YA JINAI.

12. KUJITOLEA.

UZOEFU

1. NIMEWAHI KUA (TRANSPORT OFFICER) MSIMAMIZI WA MAGARI NA HUDUMA ZOTE ZA USAFIRISHAJI KWENYE KAMPUNI.

2. DEREVA WA WATU BINAFSI HASA WAGENI MBALIMBALI. MFANO, WACHINA NA ITALIANO.

3. DEREVA WA LORI AINA YA FAW, SCANIA, IVECO. (DUMPER, FLATBED)

4. MSHAURI WA USAFIRISHAJI KWENYE KAMPUNI.

5. UZOEFU WA KUENDESHA MIKA 6 BILA KUSABABISHA AJALI.

NB; USHAURI, MSAADA TAFADHALI NINA FAMILIA NATESEKA SANA.
 
Duu.. Kwa sifa hizo na bado unatafuta kazi!? Ataree
 
Nafasi za Kazi Field Assistant, Laboratory Technician & Driver - IITA, mwisho wa Kutuma Maomni ni Tarehe 27 April 2018
 
Natafuta kazi ya u secretary au sales au za usafi maofisini. Sibagui kazi ikiwa Nina uzohefu nayo. Nimesomea advanced microcomputer.
 
Back
Top Bottom