Fursa tuziachazo: GE wahamia Kenya!

Fursa tuziachazo: GE wahamia Kenya!

Hatuhitaji kabisa walowezi kuja tena kutunyonya.Wenyewe tunaweza tukiamua.Huu ni ulimbukeni.Acha woga wa maisha.Usiwe mvivu wa kufikiri ni jinsi gani utayatatua matatizo yako mwenyewe bila msaada toka kwa yeyote yule.
Hili ni kweli kabisa.It is painfull hasa ukisoma gazeti kama The East African, jamaa wana u-activism fulani hivi yaani wao all the time ni kujipigia debe tu [nothing wrong with that ], sisi tumelala sana na kujiangalia binafsi tu. Waziri wa uwekezaji na mamlaka zake yupo, waziri wa biashara na viwanda yupo na wala hawastuki, business as usual.
Mwisho wa mwaka sijui kama kuna mtu anawauliza umefanya nini mwaka huu kwenye wizara yako.
 
Hatuhitaji kabisa walowezi
kuja tena kutunyonya.Wenyewe tunaweza tukiamua.Huu ni ulimbukeni.Acha
woga wa maisha.Usiwe mvivu wa kufikiri ni jinsi gani utayatatua matatizo
yako mwenyewe bila msaada toka kwa yeyote yule.
Fact well hammered in.
 
Back
Top Bottom