Heaven Seeker
JF-Expert Member
- May 12, 2017
- 479
- 1,080
Kichwa cha Thread hapo juu chahusika.
MAJUKUMU: 1)Uwezo wa kusimamia shughuli za Ufugaji Nyuki kwa ujumla wake Kama vile;
i)Kuhamisha Malkia na Kundi la Nyuki kutoka kwenye Mizinga yenye Nyuki wengi.
ii)Kurina Asali na kufahamu Kalenda ya Ufugaji Nyuki.
iii)Uwezo wa kufahamu aina stahiki ya Mizinga na Mimema inayofaa kwa ajili ya kuwavutia Nyuki.
iv Kuandika na kuweka kumbukumbu stahiki za Ufugaji Nyuki.
2)Kusimamias shughuli za Shamba
3)Kuandika na kutuma report kwa mfumo wa MS Word, MS Excel kupitia Emails n.k
ELIMU: Astashahada au Stashahada ya Taaluma ya Ufugaji Nyuki.
UZOEFU:Kuanzia Miaka miwili katika kazi tajwa hapo juu.
UMRI: Usizidi miaka 30.
MSHAHARA: Ni makubaliano, ila si chini ya Laki 5 kwa mwezi.
MUHIMU:1)Taaluma na Uzoefu wa Shughuli za Shamba ni Faida ya nyongeza.
2)Sifa ya Uzoefu wa kazi kwa Vitendo ni muhimu zaidi kuliko kuwa na Taaluma ya darasani na usiwe na uzoefu wa kazi(Hakuna muda wa kufundishwa kazi/Kupata experience. Ni moja kwa moja Field na kuanza kazi.
3)Kwa mwenye Elimu ya Darasa la saba au Kidato cha nne, lakini ana uzoefu mzuri wa kazi tajwa hapo juu na anafahamu kutumia Computer ana nafasi kubwa ya kupata nafasi hii kuliko mwenye taaluma ya darasani na asiye na uzoefu.
Kama unasifa stahiki tajwa hapo juu, tuwasiliane PM na baada ya kujiridhisha kuwa una vigezo stahiki, utahitajika kutuma CV yako kupitia, businessnow271@gmail.com