Fursa kwa mdada mmoja

Boss wako kakwambia utafute mfanya kaz wa ndani...unajaza mbwembwe nyingiiii......houseboy wewe unaahida kwel kweli....hahahaha eti gari umeitoa wapi?? Eti biashara umezipata wapi?? Hahaha
 
Mkuu nakuja jamani mbona mshahara haujasema
Hili tangazo la kazi kuna vitu vingi haviko wazi nandio maana baadhi wa watu wanahisi ndivyo sivyo. Labda mleta uzi ungejaribu kuweka mambo hadharani ili watu wachangamkie hiyo fursa. Kila la kheri.
 
Hapo pa mshahara utakuwa mzuri nimepaelewa sana, nipo njiani boss wangu naja.
 
Badala ya kuchangamkia fulsa..mtoa mada anashambuliwa 😀😀
 
Unatafuta mke kuwa wazi au
 
Mkuu kwa mbinu hii lazima umpate mwenye sifa unazo taka, maana kwa usawa huu kumpata mw'mke mzuri ki muonekano halaf very sharp n smart minded inahitaji mipango na mikakati kama hii.
Hongera mkuu kwa kutumia mbinu za kisasa zaid, nyinyi ndio vijana mnao takiwa kwa sasa maana hawa viumbe wanahitaji zaid ya elim ya darasani kuwapata na hata kuwacontrol.
 
Ha ha ha.
Hamna mkuu ni mfanyakazi tuu. Nilimpata anachapa kazi kinoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…