Pinkman
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 729
- 1,593
Habari wakuu.
Natafuta msichana au mwanamama mmoja ( asiwe mkubwa sana) anayejua kufanya kazi za ndani ( house girl) pia na kusimamia baadhi ya biashara zangu .
Asubuhi hadi saa 4 atafanya kazi za nyumbani maana si nyingi baada ya hapo kuna kazi atakuwa anasimamia kwenye biashara zangu za nje.
Ninaishi mwenyewe Nina watoto ila siishi nao.
Sifa za mfanyakazi
1) awe amesoma hadi form 4 pia kama amefika chuo itapendeza maana kazi zangu zinahitaji elimu zaidi ya nguvu.
2) awe anajua kuendesha gari hata kama hana leseni nitamtafutia.( kazi za nje za biashara zinahitaji awe anadrive mwenyew kuzungukia hiyo miradi)
3) asiwe na matatizo kiafya mfano presha, kifafa .
4) awe smart kimwonekano ( asiwe mchafu)
Mshahara utakuwa mzuri.
Sehemu ya kazi ni DAR.
Kwa mawasiliano aliyetayari anakaribishwa PM.
SHUKRANI.