Fursa kama hii ndio nilikuwa naitafuta kwa muda mrefu

Hauko peke yako katika wale wanaomini kama ww kuwa hii ni DECI, by the way hafungwi mtu kujiunga na hii fursa
wanaothubutu mara nyingi ndio wanaooboa kimaisha.After all nimefanya research before investing my moneyna kugundua ni moja ya best investment ever
 
Hauko peke yako katika wale wanaomini kama ww kuwa hii ni DECI, by the way hafungwi mtu kujiunga na hii fursa
wanaothubutu mara nyingi ndio wanaooboa kimaisha.After all nimefanya research before investing my moneyna kugundua ni moja ya best investment ever

wanaotoboa kimaisha ...sorry
 
Watz weng tunapenda kukaa ofisin kukimbizana na daladala haya mambo ya kufanya uwekezaj bado hatujayazoea!
 
Ndugu zangu wa JF kwa muda mrefu nilikuwa nikitafuta fursa sahihi ya kunitoa kimaisha lakini bila mafanikio.Nimejaribu biashara kadhaa lakini changamoto ni nyingi kutokana na ukweli kwamba sina muda wa kuzisimamia na pia wakati mwingine changamoto toka kwa ma competitors wa biashara nnayofanya.Hivi karibuni nimefanikiwa kutambulishwa fursa ambayo inanipa financial freedom.Ninaposema financial freedom ninamaanisha ni financial freedom kweli kweli.Fursa hii hainihitaji niajiri mtu kuisimamia wala hainihitaji nitoe muda wangu mwingi katika kuifanya.Ni fursa ninayoweza kusema ni simple ,smart and clear.Fursa hii ni ngeni hapa nchini kwetu imesambaa sana katika nchi za ulaya na america,kwa Africa Nigeria na Kenya ndio nchi ambazo zimeichangamkia sana fursa hii.Tanzania watu wengi hawajaifahamu bado,ila naamini kwa yeyote ambaye atabahatika kuisikia hawezi kuiacha.

Fursa hii inahusika na uwekezaji.Kampuni ya kiingereza inayoitwa Bitco International ndio inayotoa fursa hii ya uwekezaji.Mwekezaji atakayewekeza katika kampuni ya Bitco International atapata 3% ya kiasi alichowekeza kama return ya investment kila siku kwa muda wa siku 50.Kampuni inakua kwa kasi siku hadi siku ,na kwa sasa imefikia hatua ya kufungua Charity program katika nchi za Nigeria na kenya.

kuna baadhi ya watu niliokutana nao wengi wao wamekuwa wakiifananisha na Deci,au Network Marketing..Lakini ni waambie tu ukweli hii ni zaidi ya Deci au network Marketing.Kumbuka investment investemnt hii inahusisha coin inayoitwa Bitcoin.COIN ambayo ni maarufu nchi za ulaya ,america na Asia.kwa wenzetu ulaya Bitcoin inatumika kwenye transaction kama currency za kawaida.so kampuni inapopokea coin ulizonunua inaenda kuzi trade then faida ipatikanayo inagawanywa.Pia kampuni ina uwekezaji wake mwingine mwingi tu ,mojawapo maarufu ni kampuni ya bahati nasibu .

uwekezaji huu unafaida kubwa sana coz wana option ya auti compounding,ambapo faida iliyopatikana na mtaji wako vinaweza kujumlishwa na kuinvestiwa tena na ile asilimia tatu ikakatwa kwenye jumla.Kima cha chini cha kujiunga ni Tsh. 30,000/-..kima cha juu hakina limit.

kwa mtu ambaye ataweka laki tano au 1m kwa muda wa miaka 2 ,sijui kama atafikiria kuajiriwa,hii itakuwa ndio biashara yake for life.Mimi ninaona matunda yake ndio maana na witness hii kitu.

Kwa yeyote anayetaka kujiunga au maelezo ya kina kuhusu hii fursa awasiliane nami kwa namba hii 0712 799747.
Please ,mawasiliano yawe either call, sms au whatsapp kwa sababu ya urahisi wa ku respond.Kwa mtu ambaye atataka kujibiwa hapa itabidi awe mvumilivu coz naweza chelewa kumjibu kwa sababu huwa siingii mara kwa mara
Nafanya hii kitu iko vizuri sema k bitcoin zimepanda bei sana..woga wako ndo umaskini wako
 
Biashara y bitcoins ni wizi mtupu usiamini hawa jamaa kabla hujalizwa mm ni mhanga wa hii izsue
 
Back
Top Bottom