na bei ya nafaka like rice,maize and soya
Kipumbwi vp prawns na hao Lobster unauzaje mkuu
sawa milion tatu ni mingi sana,waweza fanya milion moja tu,atleast ukatenga na laki 2 za usafiri,wacha nilale juu kesho nitakupa wazo fiti sana,haki wengine nimewapa namba yangu na wananitusi yakuwa najigamba eti najua sana ,maze hiyo si poa but also hata ukinitusi naweza nikaamua asifanye biashara kutoka tz na kweli asifanye weather ataface tough berier within the city
wacha nikupm namba ya dealer mmoja wapo wa tumbaku,ako mtaa waitwa gurshan street mombasa near masjid mussa
kina dada mko wapi na fursa za urembo,kama vp endeleeni kulala
Mmh!! Kwa hyo target yako ni kina dada tu? Kwani wanaume hawawezi kuuza urembo?
falcon mombasa
Mkuu nina kama 10 million nataka kufanya ujasiliamali huko
Please hebu nipe muongozo mzuri ni biashara gani nzuri nitaileta huko kutoka tz ambayo unadhani itafaa zaidi
Mind that i got wife nataka biashara ya kuja unauza fasta kwa jumla then inarudi bongo kukusanya mzigo
Kwa yeyote mwenye swali kuhusu fursa za aina mbalimbali katika jiji la Mombasa (MSA) na Kenya in general aniulize hapa. Mimi ni Mtanzania mwenzenu niko hapa kwa mwaka wa tano na napenda kumeet na wapiganaji wenzangu wa maisha.
Naomba kujua bei za viatu vya kimasai mombasa
Interest naomba kujua kwa hiyo milioni Moja inatosha Naomba unieleweshe na kama kuna boder problem uniambie kaka.please naomba unijibu kwa email robbysiyanga@gmail.com
Kila lililo heri ndugu
Rice 1kg is 160ksh is whole sale au ni rejareja,?