Fursa jijini Mombasa

Ni biashara gani naweza kuleta huko kutoka huku na ikasogea haraka..........?.....
 
vijana wa kizigua wamejazana huko baada ya kuwatapeli watu huku kkoo, mmojawapo ni sancho isije kuwa we ni mmojawapo

Huku hakuna wingi wa wazigua,na hawajulikani, hii ni nchi ya wakenya na wala si kama unavyofikiri labda ukute wachaga wengi neveeeeeeeer huku kuna kabila za Kenya.
 
Wewe ungetoa tu uzoefu wako na kudadavua fursa zilizoko huko, kama walivyofanya jamaa walioko Mozambique, wanaokwenda Thailand, China, Comoro. Unafunguka tu mafursa unayoyaona yako watu wanajiongeza.
 
Wewe ungetoa tu uzoefu wako na kudadavua fursa zilizoko huko, kama walivyofanya jamaa walioko Mozambique, wanaokwenda Thailand, China, Comoro. Unafunguka tu mafursa unayoyaona yako watu wanajiongeza.

Jambo zuri umesema shida iko hv nikiandika post ndefu inakataa kujipost inataka niirefresh then post inapotea
 
wewe sio mtz, acha kudanganya watu. angalia kwenye red. wewe utakuwa mkenya unataka kupiga watu hela hapa, na siku hizi kuna kutuma mpesa kwenda kenya, angalia kwenye red.yaani umefeli mtihani mdogo sana.

Hehehe mtz akizungumza kireno amekuwa mreno? mimi nimeadapt juu niko hapa kitambo,by the way kama huna pesa ya mtaji kaa kimya na si kukatisha wenzio tamaa.hakuna anaeomba pesa hapa ni kubadilishana mawazo
 
wewe sio mtz, acha kudanganya watu. angalia kwenye red. wewe utakuwa mkenya unataka kupiga watu hela hapa, na siku hizi kuna kutuma mpesa kwenda kenya, angalia kwenye red.yaani umefeli mtihani mdogo sana.

Sasa hujaombwa pesa tayari umepanic je ukitumiwa ticket ukuje huku si utazirai,peleka njaa zako shamba
 
Back
Top Bottom