Fursa: Biashara ya mortuary (mochwari) & majeneza

Fursa: Biashara ya mortuary (mochwari) & majeneza

Sipendi kukudharau...ila umetoa post moja ya kijinga sanaa. Hujui kwamba biashara ni mchezo flan wa kutatua matatzo ya watu profitably kitu ambacho si dhambi hata kwa Mungu (inategemea na biashara yenyewe, kwa biashara hii iko legal hata machoni kwa Mungu). Sioni ajabu kwan hata vitabu vya dini vinasema mwanadamu lazma atarudi mavumbini utake usitake, kufa utakufa tu. Sasa why not capitalize that ??

Mpwa sipati picha TRA wakija kukagua mapato na matumizi. Hahahahahaaaaa hii fursa ni nzuri tuna mochwari chache sana Tanzania. The idea is Great
 
Kuna Reality show moja niliona inaoneshwa north America ni balaa jamaa familia nzima ndio kazi yao ni family business.

Yaani wadada hawana hata woga. Wanawaremba wanavisha nguo wanachoma moto nk mmmh

Hahahahahaaaaa nimeiona juzi kwenye chanel ya TLC eti jamaa wanakufanyia design ya mazishi, wana watu wa kulia, wana kila aina ya mbwembwe. Ni kizuri lakini kinatisha japo jamaa wanapiga pesa balaaa
 
Ukifa wewe.....

Rose Muhando alipata kuimba kwamba WOGA WAKO NDIO UMASKINI WAKO. atakuja mgeni toka nje afanye hii biashara sisi Tunaendelea kushangaa tu, mbona wapo watanzania kule Taiwan kazi yao ni kuwachoma Waitawani wanaokufa au hata bongo wapo pia wale wanaowachoma Baniani pale Kijitonyama karibu na Chuo Cha Uandishi wa Habari
 
Mpwa sipati picha TRA wakija kukagua mapato na matumizi. Hahahahahaaaaa hii fursa ni nzuri tuna mochwari chache sana Tanzania. The idea is Great

Watu wanaotesha mijengo kila siku town hapa ukiuliza hela anatoa wapi wengine mnaweza mkakosana na urafiki ukaishia hapo. Kuna siri sana katika swala zima la utaftaji. Nlichokiona mwananyamala mortuary my cousin alipofariki ndio nikaamini kweli hela inatafutwa *****...
 
Mpwa unakumbuka yule jamaa wa Mortuary ya Mwananyamala aliekutwa na maiti za vitoto kavifukia?
 
Hv hiyo biashara c sawa na ya guest maana kuna had short time sasa kama hutokuwa makin watu wataiba
 
Mpwa unakumbuka yule jamaa wa Mortuary ya Mwananyamala aliekutwa na maiti za vitoto kavifukia?

Noma sanaaa man. Nikasikia hata hzi hospitali baadhi wanaiba viungo vya watu (maiti) wanauza kwenye masoko yao wanayoyajua wenyewe.....wanapiga hela mbayaaa....usione watu wana push mandinga ya 2014. Dunia ina mambo mdgo wangu...Eeeeh. Sumtym watu inawabidi wawe na roho ngumu sana ku survive duniani hapa. Lol
 
wadau nimeanza hii biashara nimeanza na majeneza. mortuary ndo tunamalizia ujenzi

Vipi biashara inakwendaje? Hope unapiga kazi vizuri,ujenzi umekamilika? Wazo zuri sana hili kila la heri na ufanikiwe zaidi na uwe na kampuni yako ambayo itaratibu shughuli zote za mazishi,unachukua tenda za upambaji,usafiri, chakula hadi sare za wafiwa,huachi kitu,sikuhizi kifo ni harusi ya mwisho ya mtu,Kila la heri.....
 
Wadau tuchangamkie fursa ya biashara ya kuanzisha mortuary na majeneza hususani sehemu za mjini kama Arusha & Dar es Salaam, maana kila siku watu wanakufa na kama ujuavyo watanzania wakisikia kifo hutoa michango fasta fasta so uhakika wa kupata hela bila longo longo maana pesa ipo nje nje.

Ningelikuwa mchawi ningekuroga imara moja ili ufe halafu wewe ndio tuanze kukutumbukiza kweye hilo jeneza. Hopeless topic
 
HAhahahahahahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa umenifurahisha sana bestito mpaka hapa ofisini wamenishangaa aiseee ila inatia huzuni jamani na ni kazi ngumu sana hii aiseee
Hahahaha Funny but True. Hii biashara inalipa kinoma. Hasa hyo ya mortuary. Kuna jamaa namjua pale mortuary mwana nyamala anapiga hela kiimbwa. Yeye kaajira pale hospital/mortuary lakini kazi ya kuosha maiti unamtia Buku 50 akuoshee na kumvisha maiti nguo (Wafiwa wengi waoga na wanakua na huzuni so unajikuta unampa tu hyo hela jamaa akufanyie kazi). Unaambiwa jamaa kwa siku anaosha maiti sio chini ya 20. Anatengeneza 1 M kila siku kakosa sana laki 8 hyo ni nnje ya mshahara wake. Nilicho mnote jamaa mara nyingi anakua ameshtua kidgo na pombe. Hivi hivi hufanyi ile kazi.
 
na kwa taarifa yako walikuja kufukia karibu na makaburi ya kwetu tena wakaweka alama ya kitambaa chekundu kila nikipita hapo asubuhi kwenda job naona ilinihuzunisha sana ile kitu sitasahau kamwe kwani huyo mhusika anapeta uraiani kiflesh kala chake utamwambia nini?
Mpwa unakumbuka yule jamaa wa Mortuary ya Mwananyamala aliekutwa na maiti za vitoto kavifukia?
 
pole bestito ndo hivyo tena mwananyamala hospitali ilishakufaga siku nyingi imebakia jina tu sasa na imebakia nayo kuzikwa
Watu wanaotesha mijengo kila siku town hapa ukiuliza hela anatoa wapi wengine mnaweza mkakosana na urafiki ukaishia hapo. Kuna siri sana katika swala zima la utaftaji. Nlichokiona mwananyamala mortuary my cousin alipofariki ndio nikaamini kweli hela inatafutwa *****...
 
wachaga wamegundua hili na sasa wamekuja na ma-BENZ ya kubeba maiti yanangáaje yaani mpaka baadhi ya watu wanatamani kufiwa!!!!
 
umefikia wapi mkuu na hiyo biashara yako ya UCHURO!! kama una ubavu nenda kafanye marketing kwa Mzee wa Kingoni "Bombi hii nyumbi hii"
 
Hizi kazi noma sana kuna jamaa mmoja nchini namibia alikuwa ndo kazi yake. Siku hiyo alikuwa amechoka sana na kuna kazi ya maiti aliachiwa aiogeshe na kuivalisha. Kimbembe mda ulikuwa hautoshi ikabidi amchukue maiti kwenye gari yake hadi kwake. Jamaa kesho wanakuja kumpigia simu akawaambia waende kwake yeye kapumzika wakamchukue mtu wao yupo tayari. Sijui hii kesi iliishia wapi.
 
Pia kuna doctor mwengine yeye ikifika ligi za ulaya ana tv yake monchwari kwa hiyo yeye anachokifanya anachukua maiti 3 anazivalisha jezi kisha anaangalia nao mechi.
 
nimependa hapo penye rangi ya Simba

Back
Top Bottom