franktemu123
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 1,406
- 1,483
mkuu piga kazi tena watanzania walivyo waoga wa maiti utapiga hela mpaka ushangae. la muhimu uipende tu kazi yako mkuu. Na ujiwekee malengo ya mbeleni maana nina uhakika humo humo kwenye maiti utaibuka na UKIMWI tu.