Fursa: Biashara ya mortuary (mochwari) & majeneza

Fursa: Biashara ya mortuary (mochwari) & majeneza

asanteni kwa mawazo/michango murua nitaifanyia kazi kwa umakini zaidi na karibuni sana 0714875459 (24 hours hotline)

Samaha kidogo,

Hivi ikitokea vifo vikapungua sana,utapiga magoti kwa Munu wako ii vifo vitokee? Naungana na wewe kutoa huduma hii. Ukiika ktk Mochwari za serikali kuna huduma mbovu. Kila la kheri.
 
Kuna Reality show moja niliona inaoneshwa north America ni balaa jamaa familia nzima ndio kazi yao ni family business.

Yaani wadada hawana hata woga. Wanawaremba wanavisha nguo wanachoma moto nk mmmh
 
Mie niko tayari tena nitafanya mwenyewe nikipata watu wa kunisaidia itakuwa vyema.
Kwanza nitagawa.
Daraja la kwanza kwa wale waheshimiwa wenye fedha zao,au mwili umetoka nje ya nchi utahifadhiwa pale ili kuandaa mipango mingine.
Daraja la pili linakuwa lina unafuu kwani kutakua na a na b
daraja la tatu nita nitagawa mara 2
pia kutakuwa na huduma za church and mosque
usafiri pia utakuwepo
music/kwaya
maturubali
pia wachimbaji etc
 
ni biashara inayolipa na haina presha maana watu wanaiogopa sana
 
Wadau tuchangamkie fursa ya biashara ya kuanzisha mortuary na majeneza hususani sehemu za mjini kama Arusha & Dar es Salaam, maana kila siku watu wanakufa na kama ujuavyo watanzania wakisikia kifo hutoa michango fasta fasta so uhakika wa kupata hela bila longo longo maana pesa ipo nje nje.
wewe unajua business

great one
 
hahahaaahaaa.....Daah yani huu uzi, NIMECHEKA SANA!
ONTARIO
ANALOGIA MALENGA
BULL DOG
CHOCS
Ngopyolo mmenichekesha sana
 
Wadau tuchangamkie fursa ya biashara ya kuanzisha mortuary na majeneza hususani sehemu za mjini kama Arusha & Dar es Salaam, maana kila siku watu wanakufa na kama ujuavyo watanzania wakisikia kifo hutoa michango fasta fasta so uhakika wa kupata hela bila longo longo maana pesa ipo nje nje.

Ukifa wewe.....
 
safi sana usisahau kuweka na friji ya soda na bia kwa ajili ya waombolezaji
 
Umesema kweli. Ila ndugu yangu kuna kitu kinaitwa "shida" unafkiri watu wanapenda basi ??? Utafanyaje sasa mtu una familia, ndugu wanakutegemea, watoto wanataka kwenda shule, gharama za maisha zinapanda kila siku alaf ndio umeotea hyo kazi ya hela nyingi hvyo. Utakataa ??? We uniambie labda mtu azingatie na afya yake. Vitendea kazi viwe vya kueleweka cz unaeza kuta mwingine kafa na magonjwa yake ya ajabu ajabu inakula na kwako pia. Pia sio kazi ya kuitegemea milele yote mtu ukisha collect capital yako nzuri unafanya issue zako zingne (ingawa sio rahisi). Anyway yote maisha tu. Mwisho wa siku wote tutarudi mavumbini tu.

Mtu napiga zaaidi ya Laki 5 kwa siku alafu unasdema anashida?
 
Mtu napiga zaaidi ya Laki 5 kwa siku alafu unasdema anashida?

Nlicho maanisha ni kwamba unakuta mtu hapo awali alikua ana shida sana ya kipato na majukumu yamemlemea then all of a sudden anaotea kazi kama hyo ya kuosha maiti. Mtu lazima aingie mzigoni, bahati hiyo haiji mara mbili.
 
Bora hata kulima nyanya na mchicha, hapa baada ya muda akili yako lazima iathirike. Jamaa mmoja pale Muhimbili ambaye alikuwa anafanya kazi hii ukimuona utadhani ni taahira na alikuwa akiingia kwenye basi wale waliokuwa wanamfahamu kazi yake pale Muhimbili walikuwa wanamkimbia na wengine kushuka hata ndani ya basi na kusubiri litakalofuata.

Dah. Nilivyo muoga hii biashara sifanyi hata
 
Bora hata kulima nyanya na mchicha, hapa baada ya muda akili yako lazima iathirike. Jamaa mmoja pale Muhimbili ambaye alikuwa anafanya kazi hii ukimuona utadhani ni taahira na alikuwa akiingia kwenye basi wale waliokuwa wanamfahamu kazi yake pale Muhimbili walikuwa wanamkimbia na wengine kushuka hata ndani ya basi na kusubiri litakalofuata.

Hapo ndo pagumu aisee.
 
Wadau tuchangamkie fursa ya biashara ya kuanzisha mortuary na majeneza hususani sehemu za mjini kama Arusha & Dar es Salaam, maana kila siku watu wanakufa na kama ujuavyo watanzania wakisikia kifo hutoa michango fasta fasta so uhakika wa kupata hela bila longo longo maana pesa ipo nje nje.

:thumbup:
 
Wadau nimefungua duka la sanda SINZA MAKABURINI next to MWIKA SOCIAL CLUB kama unaelekea MLIMANI CITY.
 
Ukiwa na biashara kama hii unapomuomba mungu akusaidie biashara yako ikue utakuwa unaongea maneno gani? unaomba watu wapte majanga ili wafe kwa wingi? na wakifa kidogo unasikitika. Biashara zngine laana tu.Inabidi tuiachie serikali ifanye kama huduma na siyo mradi
 
Aiseee bonge la idea especially kama ukaanda package nzuri ya mazishi , usafiri ,majeneza etc watu wanakufa na hamna professional service iliyotulia hadi sasa tunaweza jifunza hata Kenya tu Hapo . all the best mkuu .
 
Back
Top Bottom