CARIFONIA
JF-Expert Member
- Aug 17, 2013
- 652
- 1,579
Habari zenu wadau wa jukwaa hili la biashara. Leo nilikua na fursa ambayo nimepanda niwashilikishe na hii ni maalumu kwa wadau wanaopenda kuongeza maarifa kupitia kusoma vitabu, kwa kutambua umuhimu wa kusoma vitabu leo nimeona nihilete hii fursa kwa wale ambao mmekua mkitafuta vitabu.
Na kama unavyojua vitabu vingi vinauzwa kwa gharama sana sasa kwa kuliona hilo leo napenda kuwatarifu kua sisi tunauza vitabu vya Aina zote kwa bei rafiki sana tuna vitabu vya hadithi za watoto na wakubwa, pia vitabu vya masomo vinapatikana.
Asanteni sana, nyote mnakaribishwa