Kiuno cha papa kimefanyaje hapa? Watu tumeona kiuno cha nguru, nini cha papa!
Nguru anahusikaje hapa?Umejuaje kama nilikuwa namzungumzia papa mtu au samaki?
Majibu yangu yatahusisha references kwenye historia ya The Borgias na Machiavelli sasa kama hujapandisha hata kidogo tu mambo hayo, majibu yangu yatakuwa sawa na kutokukujibu.
Yakowapi hayo majibu?
Ndiyo maana kabla ya kujibiwa umepewa prerequisites hapo.
Siwezi kuanza kukufundisha Euclidean geometry kabla ya kuanza kukueleza core Euclidean axioms and principles.
Wewe unataka tuingie kwenye kujadili geometry wakati hata core principles hujazijua.
Ukweli ni kwamba, si tu hawa mapapa walikuwa atheists, bali pia hata watu wengi wanaojiita "wakristo" leo, kwa kutumia definition ya "wakristo" kama watu wanaomfuata yesu kristo, ni wakristo jina.
Matendo yao yako mbali kabisa na ukristo.
Inaonekana hata hujui swali langu lilikuwa linahitaji majibu gani
Sijakuuliza kuhusiana na Wakristo
Maswali yangu hujayasoma?
Au hujui kusoma?
Au unasoma na huelewi?
Mwandishi wa "The borgias" hayupo hapa na wewe ndie uliyeandika hapa kuhusu hiyo kitu
Mwandishi wa Machiavelli hajaandika chochote hapa ila Kiranga ndio kaandika hapa
Wewe ndie unadai umewasoma na ndiko ulipotoa hayo maelezo kuwa hao mapapa wanajua kuwa Mungu hayupo
Wewe uliyewasoma ndie ninakuuliza wamejuaje ili uuweke hapa huo ujuzi
Hujafanya hivyo na unaleta longolongo tu hapa
Nimekuuliza kuwa wewe umejuaje kuwa hao wanajua kuwa Mungu hayupo huajibu naona unaleta ngonjera tu hapa
Inawezekana kabisa hata kuelewa hicho unachodai kukisoma hujaelewa ndio maana ukafikia hitimisho ambalo umeshindwa kulitetea kwa fact na uthibitisho
Huenda wenzako wamesema walionana na Mungu wewe ukaelewa kuwa walionana na misukule,ndio maana tunahitaji utuletee huo ujuzi uliosema wanao ili nasi tuuone
Kudai tu sijui akina machiavelli au the borgias hakuwezi kumfanya yoytote yule akatafuta hizo hadithi na kuzisoma kama wewe umeshindwa kutuambia hapa kuna nini kwenye hizo hadithi na kututhibitishia kama hicho ilichokisema kina ukweli au ni ndoto zako tu
Jibu maswali yangu acha longo longo ...!!!!!!!!