Furaha!

amin...amin...amin_nakuambia,...furaha ya kweli na ya kudumu iko ndani yako.

Kweli kabisaaaaa....! Moyo wako ukishakuwa na amani na ukishakubali mazingira yanayokuzunguka whether kazini au nyumbani..ukaikubali hali ya maisha yako..Baasi una furaha tosha! Ila kama vyote hivyo vina walakin,ndugu yangu hata kama una mke mzuri haitasaidia sana..furaha haitokamilika!
 
Nani kasema mke, mume, mchumba, mpenzi ndio kila kitu?????? Hawa hawana furaha yoyote ya kukupa wewe!
 
amin...amin...amin_nakuambia,...furaha ya kweli na ya kudumu iko ndani yako.

Ahsante sana Mkuu!!!! Na ukijaaliwa hili basi siku zote wewe ni raha tu!!!!!

Last edited by a moderator:
Laima upate msaada wa kunogesha furaha yako

chukua tano Fide!

hapa watu wanasema raha jipe mwenyewe, lakini hayo ni maneno tu, ingekuwa raha ya kujipa mwenyewe inajitosheleza haya manunguniko ya ndoa zetu tusingesikia kamwe., kama wajipa raha mwenyewe kwa nini unapokosea raha iyo inapungua kama si kupotea??
 
Kweli kabisaaaaa....! Moyo wako ukishakuwa na amani na ukishakubali mazingira yanayokuzunguka whether kazini au nyumbani..ukaikubali hali ya maisha yako..Baasi una furaha tosha! Ila kama vyote hivyo vina walakin,ndugu yangu hata kama una mke mzuri haitasaidia sana..furaha haitokamilika!

hapo nilipobold, naona hapa tunaanza kuelewana
 
Wana JF!, furaha ya kujipa mwenyewe inajitosheleza??

wewe kama mwanaume, mwanamke utahitaji kufanyiwa nini au afanye nini mwanandani wako ili upate furaha??
 
Una ongelea furaha ambayo mtu anaipata ndani ya mahusiano ya ndoa na mapenzi au furaha kwa ujumla?

Yapo maeneo mengi sana ambayo yanaweza yakawa chanzo cha furaha ktk maisha ya mwanadamu.

Lakini kabla ya yote ni lazima ile furaha ianzie ndani ya mtu binafsi.
 
Amen.

Huwa unakasirika?? partner wako hasipotimiza wajibu wake kama mume utakuwa na furaha?
Yes nikiudhiwa nakasirika,na ili furaha yangu irudi ni lzm nimweleze mhusika km hajagundua km kaniudhi then tuyamalize,
Partner wangu asipotimiwa wajibu wake nitaongea naye na kujua tatizo ni nn,then kwa pamoja tutatafuta suluhisho,ili kuirudisha furaha yetu.
 
Laima upate msaada wa kunogesha furaha yako
Km nitakuwa sina furaha hata yeye hatajisikia kunipa hiyo furaha aliyonayo yeye,
Na furaha ya pamoja hunoga pale kila mtu ana furaha kinachofuata nikuziunganisha na furaha kuwa doubled kwa wote!
 
Katika ulimwengu wa uhalisia furaha hauwezi kupewa na mtu wala haiko nje yako.Furaha iko ndani mwako na anaeamua awe na furaha ama la ni wewewe mwenyewe.Anachoweza kukupa mtu ni raha tu,usichanganye mambo haya!
 
Back
Top Bottom