Majinzi
Senior Member
- Oct 28, 2018
- 147
- 203
- Thread starter
- #41
Wanamitandao? So hao wanamitandao wana ndugu ambao wananchi wapo vijijini? 

Kwa hiyo hawa wanamitandao wapo mjini si ndo hivyo?
Hivi hawa wanamitandao wanaishi wapi


Kwa hiyo hawa wanamitandao wapo mjini si ndo hivyo?
Hivi hawa wanamitandao wanaishi wapi
Nikusahihishe sio wananchi, sema wanamitandao, hiki tunachoongea haps jaribu kumpigia simu ndugu yako kule kijijini mlize kuhusu ndege kukamatwa atakushangaa. Ujinga tulio nap sisi wanamtandao hatujui watanzania wako wapi.
Nikirudi kwenye mada yako, uwezi kuisemea vizuri serikali kama ulikuwa una makandokando au mnufaika Wa makandokando kisha serikali ikakata mirija au ukafukuzwa. Chunguza vizuri wote wale wanaotukana na kuisema ovyo mitandaoni ni wahanga. Watataka wawe na hati miliki ya Tanzania, rais anavyo fanya mageuzi ya kimfumo kuziba mianya ya upigaji roho zinawauma, hakuna linguine zaidi ya kuwa mijitu yenye roho mbaya wanataka watanzania walipe ada za shule za milioni walipe private hospital wakati hawana uwakika Wa milo mitatu. Watatukana sana ila wameshikwa korodani na koleo.
