Majinzi
Senior Member
- Oct 28, 2018
- 147
- 203
Kutokana na Ndege yetu kuzuiwa na mahakama kuu nchi South Africa, nimepitia mitandao ya kijamii kusoma maoni ya watu ambao ni wananchi na wanufaikaji pengne wa kila miladi inayoihusu nchi.
Jambo la kusikitisha watanzania wanafurahi kwa kitendo cha ndege yetu kuwekewa kizuizi.
Kabla sijawalaumu nimejiuliza maswali
1. Kwanini wanafurahi serikali inapokuwa kwenye migogoro fulani?
Swali hili limekuja baada ya kujiridhisha kuwa si hili tu la Air Tanzania bali imekuwa ni jambo la kawaida wananchi kufurahi pale nchi (serikali) inapokuwa kwenye migogoro.
2. Je Serikali inajifunza nini kupitia wananchi wake wanapofurahi pale inapokuwa na migogoro ya aina hii?
3.Je kama nchi tunapaswa kufurahi au tuwe na namna nyingne ya kufikisha ujumbe kwa serikali ili kuwajibika inavyopaswa?
4.Je Serikali inajua chanzo pelekewa kwa wananchi kufurahia pindi inapokuwa na migogoro? Kama ndio je haioni kutafta suluhisho la tatizo?
Pamoja na maswali yangu lakini Leo ningependa kujua swali msingi ni Kwanini tunafurahi nchi inapoingia kwenye migogoro?