MAYANGA SALUMU CHANGUHELA
Member
- Aug 11, 2022
- 16
- 10
Ilikuwa mara yangu ya kwanza kukutana na rafiki yangu kipenzi aitwaje Mayasa alifurahi kuniona nami pia tuliongea mengi sana pia ila akanisimulia hali yake ya ndoa "
Mayasa: MAYANGA nimefurahi kukuona binafsi hapa ndio napo ishi mda wote hushindi humu bila kutoka kwenda hata kwa jirani nimekuwa wakushinda hapa na Ado wangu nikitaka kutoka tu nazuiliwa hapendi niongee na mtu
MAYANGA: mh !! Lakini si mnapata mda wa kufurahi pamoja ,,maaana ukiwa unaishi ivyo yeye anabidi awekaribu sana nawe .
Mayasa : Bora hata ingekuwa ivyo yeye anaondoka asubuhi anarudi saa tano usiku na akifika namtengea chakula akimaliza kulala mimi nabaki kuchezea simu tu mpaka usingizi unanipata.
MAYANGA: Sasa kwanini asikupe shughuli ya kufanya ambayo itakuweka busy kama yeye anawivu na vipi kuhusu kusoma .
Mayasa: Mwanzo alinipa biashara ya huduma za fedha shida Ni kwamba akija mteja wa kiume hataki akuone umecheka wala kutabasamu hata nuna siku tatu na kukuambia nenda nyumbani ,MAYANGA unavyoniaona hapa nimesoma vyeti vyangu vipo tu ndani maana ndio nmechagua haya maisha ,,Mwanzo aliniambia atakuwa atanipa nachotaka lakini mda unapozidi kuenda hali ikabadilila maana akaona kila jambo analonipa nalifanya linakuwa kubwa mpaka naweza nunua uwanja wangu akiona ivyo tu ananikataza na hiyo biashara ,na nikimuambia kuhusu kufanya kazi niliyosomea ananiambia kwa unakosa nini na hata tukikwazana kidogo tu anachukua vyeti vyangu na kuvificha.
MAYANGA: kwani yeye ana elimu gani ?
Mayasa: Ni darasan la saba tu ,, lakini hakukubaliana hivi maana hata mpango wa kuendelea kuzaa nausimamisha maana sina furaha naye .maana huu Sasa wivu gani we mwenyewe umemuona alipokuona tu ameshanuna hadi inaweza fika hata wiki
MAYANGA: duh pole sana. Lakini ndio maisha cha msingi furaha ivyo naimani yote yatapita jambo la msingi nikumuomba mungu pia usisite kunipigia kama kunajambo lolote linakusumbua .
Mayasa: haya mwaya karibu sana wewe mwenyewe umejionea ivyo usiogope siku nyingine kuja hata kama sitakuwa hewani we njoo tu cha msingi umepajua maana sikuamini kama hutakuja
Urafiki wetu ukawa unaongezeka kila leo pia utumia mda mwingi kunishauri Mambo ya msingi sana .