Furaha Dominic: waliohusika katika ubadhirifu wa fedha uliobainishwa kwenye ripoti ya CAG watolewe kafara ili iwe mfano kwa wengine

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
Baada ya kutolewa kwa ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Dkt. Charles Kichere Machi 27, 2025, Ikulu jijini Dar es Salaam, kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Furaha Dominic, amependekeza itumike adhabu ya kunyongwa kwa wale wote waliohusika katika ubadhirifu wa fedha uliobainishwa kwenye ripoti ya CAG.

Soma Pia: Rais Samia akipokea Ripoti ya CAG kwa Mwaka 2023/2024 Ikulu Dar, Machi 27, 2025

Miongoni mwa mambo yaliyotajwa na Dkt. Kichere mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ni kuhusu Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), ambalo linadaiwa Tsh. bilioni 238.71 na kampuni ya IPTL, ikijumuisha deni halisi la Tsh. bilioni 111.48 na riba ya Tsh. bilioni 127.22.

Anaongelea serikali ipi?
 
Atafukuzwa ccm
 
CCM haina utamaduni huo wa kutokana kafara. Ndio maana tunasema adui wa Mtanzania ni CCM na katiba ya mwaka 1977
 
Chukua Chako Mapema. CCM ndiyoo utamaduni na desturi zao kulindana ktk ufisadi ,kazi iendelee nani kama mama
 
Baada ya kutolewa kwa ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Dkt. Charles Kichere Machi 27, 2025, Ikulu jijini Dar es Salaam, kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Furaha Dominic, amependekeza itumike adhabu ya kunyongwa kwa wale wote waliohusika katika ubadhirifu wa fedha uliobainishwa kwenye ripoti ya CAG.

Soma Pia: Rais Samia akipokea Ripoti ya CAG kwa Mwaka 2023/2024 Ikulu Dar, Machi 27, 2025

Miongoni mwa mambo yaliyotajwa na Dkt. Kichere mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ni kuhusu Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), ambalo linadaiwa Tsh. bilioni 238.71 na kampuni ya IPTL, ikijumuisha deni halisi la Tsh. bilioni 111.48 na riba ya Tsh. bilioni 127.22.

Huyu ndio think tank wa Mtumishi Mungu....na ndio anamlinda na access kwa watawala....khaa ila mimi mdomo huu....acha nisiseme....wenye kuelewa wameelewa
 
Baada ya kutolewa kwa ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Dkt. Charles Kichere Machi 27, 2025, Ikulu jijini Dar es Salaam, kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Furaha Dominic, amependekeza itumike adhabu ya kunyongwa kwa wale wote waliohusika katika ubadhirifu wa fedha uliobainishwa kwenye ripoti ya CAG.

Soma Pia: Rais Samia akipokea Ripoti ya CAG kwa Mwaka 2023/2024 Ikulu Dar, Machi 27, 2025

Miongoni mwa mambo yaliyotajwa na Dkt. Kichere mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ni kuhusu Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), ambalo linadaiwa Tsh. bilioni 238.71 na kampuni ya IPTL, ikijumuisha deni halisi la Tsh. bilioni 111.48 na riba ya Tsh. bilioni 127.22.

Mbona sasa ccm wote watanyongwa?Alifikiri vizuri kabla ya kuyaongea hayo?Tlaatlaah,Choice,na Luca mpo wapi msaidie kwenye hili?
 
Kesi yake ya kutaka ransom kwa picha chafu za watu iliishia wapi?
 
Anamaanisha wanaccm watolewe kafara!!
Mfukuzeni chamani huyu hawatakii mema
 
Wabadhirifu wote waliotajwa kwenye ripoti ya CAG kufilisiwa Mali zao ndani na nje ya nchi (Dubai, Canada, Australia, UK).
 
Back
Top Bottom