Furaha Dominic: Hakuna tofauti ya Uongozi kati ya Hayati Magufuli na Rais Samia

Magufuli amefanya mambo makubwa sana nchi hii.

Ni kikundi cha wahuni tu kilichokua hakimpendi ndio kinapiga kelele kwamba Magufuli hakufanya kitu ama sijui alikua dikteta na mambo kama hayo.

Magufuli aliteua mawaziri 2 kutoka Geita, Kalemani na Biteko watu wakasema amejaza ndugu zake wote baraza la mawaziri.

Leo Samia amejaza mawaziri 5 kutoka Pwani mkoa masikini Tanzania nzima sisikii kelele, kujaza mawaziri 3 kutoka Tanga sisikii, kufukuza wakristo karibu wote baraza la Mawaziri na kuteua ndugu zake waislamu huwei kusikia malalamiko.

Magufuli endelea kupumzika kwa amani mzee wetu.
UONGO ni hapo ulipomalizia UDINI
Dodoma Waziri na manaibu ni Wakristo Simbachawene, Deo Ndejembi, Mavunde. Kilimanjaro wa2 Wakristosioni ubaya Mkumbo na Waitara kutolewa iwe sababu
sasa Geita ya juzi mkataka na Chato iwe Mkoa leo mnashindana eti na Pwani
Magufuli apumzike tu hana tofauti na Mobutu seseko na Globetore
 
Huyu si aliwania ubunge kimagumashi kama kuwaenjoy tu wananzengo, akawa anaongea kimapozi ya ki bill gate, yaani anaomba kura kama kwamba anawafanyia favour watu,,,

Kijana alikuwa juu mawinguni kama break za ndege yaani

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Huyu kijana alikuwa/ yupo bado JF
alitusumbua na kututisha Sana tulipokuwa tofauti na utawala wa mjomba wake mpaka inbox ipo siku nitamuanika ID yake
kila masika na mvua zake
 
Mkuu Ukwaju nimemiss sana msaada wako wa kuweka video sawa haswa kule jukwaa letu la chini kabisa
 
Magufuli amefanya mambo makubwa sana nchi hii.

Ni kikundi cha wahuni tu kilichokua hakimpendi ndio kinapiga kelele kwamba Magufuli hakufanya kitu ama sijui alikua dikteta na mambo kama hayo.

Magufuli aliteua mawaziri 2 kutoka Geita, Kalemani na Biteko watu wakasema amejaza ndugu zake wote baraza la mawaziri.

Leo Samia amejaza mawaziri 5 kutoka Pwani mkoa masikini Tanzania nzima sisikii kelele, kujaza mawaziri 3 kutoka Tanga sisikii, kufukuza wakristo karibu wote baraza la Mawaziri na kuteua ndugu zake waislamu huwei kusikia malalamiko.

Magufuli endelea kupumzika kwa amani mzee wetu.
You are so despicable
 
Makubwa kama yapi?
 
Mpwa tena? Kweli jamaa aliendekeza sana undugunaization, na ulabilazation
Kwa kuwalinganisha viongozi kwa vigezo cya 'NEPOTISM' hakuna tena wa kumlinganisha na Jiwe!
1641881644907.png
 
Magufuli amefanya mambo makubwa sana nchi hii.

Ni kikundi cha wahuni tu kilichokua hakimpendi ndio kinapiga kelele kwamba Magufuli hakufanya kitu ama sijui alikua dikteta na mambo kama hayo.

Magufuli aliteua mawaziri 2 kutoka Geita, Kalemani na Biteko watu wakasema amejaza ndugu zake wote baraza la mawaziri.

Leo Samia amejaza mawaziri 5 kutoka Pwani mkoa masikini Tanzania nzima sisikii kelele, kujaza mawaziri 3 kutoka Tanga sisikii, kufukuza wakristo karibu wote baraza la Mawaziri na kuteua ndugu zake waislamu huwei kusikia malalamiko.

Magufuli endelea kupumzika kwa amani mzee wetu.
Umeandika malalamiko halafu unasema hakuna anaelalamika!
 
Je, anamaanisha kupotea kwa 1.5 kuko pale pale?
Jamaa ana moyo wa chuma kabisa badala ya kutoa ombi wanyamwezi wamsamehe mjomba wake kwa lawama wanazomtupia hapa duniani yeye anasaka uteuzi wa bure!
Anamaanisha ukihoji matendo ya Chifu Hangaya uta perish kama alivyo perish Ben Saanane. Mafanikio wa kwanza ni salamu alizopata Ayubu.
 
Mpwa umeliamsha dude, Hakuna aliyewahi gombana na Gwajima akabaki salama wote walipotea kabisa check bashite,ndugai,pengo,nk
 
Magufuli amefanya mambo makubwa sana nchi hii.

Ni kikundi cha wahuni tu kilichokua hakimpendi ndio kinapiga kelele kwamba Magufuli hakufanya kitu ama sijui alikua dikteta na mambo kama hayo.

Magufuli aliteua mawaziri 2 kutoka Geita, Kalemani na Biteko watu wakasema amejaza ndugu zake wote baraza la mawaziri.

Leo Samia amejaza mawaziri 5 kutoka Pwani mkoa masikini Tanzania nzima sisikii kelele, kujaza mawaziri 3 kutoka Tanga sisikii, kufukuza wakristo karibu wote baraza la Mawaziri na kuteua ndugu zake waislamu huwei kusikia malalamiko.

Magufuli endelea kupumzika kwa amani mzee wetu.
..."Kufukuza Wakristo karibu wote!" Mbaya sana. Acha kueneza chuki ya udini ndugu yangu. Hatuna Tanzania nyingine ni hii ya mababu zetu.🙏🙏
 
Mpwa tena? Kweli jamaa aliendekeza sana undugunaization, na ulabilazation
Umesoma na kuielewa mada?

Au unasoma ukiwa chooni?

Unaambiwa ni mkwe wa magufuli, ndio.

Lakini kaalikwa katika kipindi cha the Big Agenda...Star TV na muendesha kipindi ni Ntozi Aloyce Nyanda.

Huyu Furaha Dominic pamoja na kuwa mpwa wa JPM, lakini ni huyohuyo JPM aliyeamuru kukatwa kwa jina lake kutoka ugombea wa kiti cha ubunge jimbo la Kawe kupitia CCM.

Ingawa alikuwa ameshinda kura za maoni katika nafasi ya kwanza mbali na mbele kabisa ya Gwajima.

Muwe mnafuatilia habari au kusoma topic kwa ufasaha kabla ya kurukia ku comment jambo usilolijua wala kulielewa vizuri.
 
Furaha Dominic ambaye ni mtoto wa dada wa hayati Magufuli amesema haoni tofauti yoyote kati ya utawala wa mjomba wake na Rais wa sasa mh Samia.

Dominic ambaye aligombea ubunge Kawe amesema hajawahi kumuona mtu mwongo hapa duniani kama askofu Gwajima.

Kipindi kiko mubashara Star tv, karibu

Updates;
Ushauri wangu tu tena wa bure kabisa Kwake ni kwamba atulie, awe mkimya na ajipambanie hasa Kimaisha na kwa Familia yake kwani Kisaikolojia naona anakotaka kuelekea ni kubaya kuliko awazavyo.
 
Umesoma na kuielewa mada?

Au unasoma ukiwa chooni?

Unaambiwa ni mkwe wa magufuli, ndio.

Lakini kaalikwa katika kipindi cha the Big Agenda...Star TV na muendesha kipindi ni Ntozi Aloyce Nyanda.

Huyu Furaha Dominic pamoja na kuwa mpwa wa JPM, lakini ni huyohuyo JPM aliyeamuru kukatwa kwa jina lake kutoka ugombea wa kiti cha ubunge jimbo la Kawe kupitia CCM.

Ingawa alikuwa ameshinda kura za maoni katika nafasi ya kwanza mbali na mbele kabisa ya Gwajima.

Muwe mnafuatilia habari au kusoma topic kwa ufasaha kabla ya kurukia ku comment jambo usilolijua wala kulielewa vizuri.
Huyo dogo alihonga hela nyingi sana kiboya , anakaa Masaki, na hizo hela alipewa na mwendazake.

Kwa aibu mwendazake akaona bora am chukua mshindi wa tatu ambaye pia ni msukuma mwenzake
 
Back
Top Bottom