Funzo la ushetani kwa wenye ndoa

Funzo la ushetani kwa wenye ndoa

Nazjaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
7,850
Reaction score
9,423
ZIJUE njia 10 za kuwa na demu/buzi bila kugundulika na mumeo/mkeo

1. Mara umalizapo kusoma txt mesej ya muasherati mwenzio futa
2. Ukisev majina kwenye simu yako tumia majina kama Fundi Bomba, Fundi friji, Mama wa TRA, na kadhalika
3. Siku ya mpambano msitumie pafyumu, na kamwe msitumie zile sabuni EVA zinazotolea bure gest.
4. Wanaume mkitoka kwenye eneo la tukio, ni muhimu kutafuta mahala penye watu wengi na kujichanganya kisha kumtaarifu waif kuwa uko huko, ukirudi na harufu ya ajabu inakuwa rahisi kujieleza wapi ulipata harufu hiyo..
5. Unapoamua kwenda kwenye tukio vaa kikawaida sio kutia mavazi ya ajabu inakuwa rahisi kuonekana na wambeya.
6. Matukio yawe yanapangwa siku na saa za kazi, hasa wakati wa mchana.
7. Usibadilike tabia ukisha pata mwenza wa pembeni, wajinga wengine huanza dharau nyumbani au ukali usio na sababu au hata kutokujali watoto.
8. Usianze tabia ya kuzima sima ukiwa home, kimsingi weka utaratibu wa simu kuwa silence siku zote, sio kuanza tabia hiyo ukipata kisamsing cha pembeni.
9. Usiruhusu urafiki kati ya mkeo/mumeo na rafiki zako.
10. Daima uwe unaongea mabaya kuhusu muasherati mwenzio ikiwa anafahamika hapo home, ikiwezekana mzulie kaskendo hata kuanzisha hadithi kuwa muhusika ana ngoma.​
 
Haki ya mama yangu... Dunia duara, nakuuliza we Nazjaz umeoa/kuolewa? Unayafanya hayo? Kama siyo kwa nini ufundishe watu haya? Kama ndio ukifanyiwa utaonaje? ...!
 
Dah xaxa kama ndo hivyo tutakufa wengi mana unaweza kupata magonjwa ikiwa familia yako haijui mwisho wa ckuùnakuja kuiua mwenyewe
 
Asante shosti. Hii itatusaidia sie wageni wa vyama vingi.

Cc Kaizer, Asprin (hivi una cheo gani hapa?) na nisimsahau mkiti Teamo
 
Last edited by a moderator:
Always cheater mna technique...what if na mwandani wako akatumia njia hiyo hiyo so far naona mafundisho yako yameegemea upande mmoja tu!
 
Nilitegemea usifie. Unaogopa kumegewa hehehehe

lol...wee kumegewa sooo...ila nashangaa mtu ata amege vipi haondoki na utamu so y inauma?

ah huyu nazjaz aliniambia mie hovyo kwenye ile thread yake ya wanaume wanamtia wazimu....sasa kama wanamtia wazimu haya maneno ya nini
 
Yote hayo ya nini? Unakosa uhuru na kutapatapa kama kuku anayetaka kutaga
 
Unamficha mwanadamu hayo mambo yako, MUNGU Je?????????????

Utafichuliwa na Magonjwa na Kifo

Chezea shetani Weweeeh!!!!???
 
Back
Top Bottom