Funzo la Maisha ya Ivan Ssemwanga kwa wana East Africa

Hivi bongo nani huwaga anagawa pesa?
...alishawahi tokea mmoja yule tajiri wa madini kule mererani miaka ile askofu mollel alikuwa akitembea na mfuko wa maliboro umejaa pesa na kuzimwaga mitaani ila sikuhizi ndo hivo tena choka mbaya..
 
Imekuwa vizuri aliandika mali amewaachia Zari na watoto. Na Zari kuendeleza yote yake, kuanzia biashara walizokuwa nazo pamoja za colleges n.k.
According to a thread author Ivan didn't write a will. Or did I miss any line?
 
Back
Top Bottom