Funzo la Maisha ya Ivan Ssemwanga kwa wana East Africa

Aiseee the dude was so humble.. Daaah hiyo #10 imenigusa sana.. Very good of him!!
Mtu mwema sana aliyejaa ukarimu. Namba "7" imenigusa mno. Siyo wengi wenye silika hiyo utasikia Oh Fulani hili,,,,, sana. Kwa hili alale vema anakostahili.
 
Umesahau kitu kimoja mkuu! tukiwa na Pesa Show off hazina maana! alafu tukumbuke kufanya mazoezi ili kuepuka magonjwa ya moyo...Jamaa show off zilikuwa nyingi lakini ukichunguza kwa undani he was not happy! So money does not bring happiness wngine tunawaona wana-party sana kumbe ni self heal isiyowasaidia!
 
Tuambieni kazi yake ilikuwa nini?
Sio mnasifia utajiri tu!!!!
 
Inategemea na jinsia yako....Kama wewe ni jinsia pendwa tupo wengi wa kukugawia pesa.
Angekua jinsia pendwa,kweli ungegawa kama alivyokua anagawa pesa Ivan... au unajisifu tu kwenye keypad,tuwe fea tunapokomenti mkuu,yawezekana hufikii hata robo ya utajiri aliokua nao Ivan,ok anyway,endelea kujisifu kwenye keypad,yawezekana ni mtu wakuhonga kwa jinsia pendwa kama ulivyojitanabaisha.
 
Tuambieni kazi yake ilikuwa nini?
Sio mnasifia utajiri tu!!!!
Alikuwa mfanyabiashara mmiliki wa "Brooklyn College za South Africa. Chuo kina Campus zaidi ya tatu. Ila ni jinsi gani alivyoweza kuingia SA na kutoka kimaisha ni kama tu wazamiaji wa kwetu!
 
Alikuwa mfanyabiashara mmiliki wa "Brooklyn College za South Africa. Chuo kina Campus zaidi ya tatu. Ila ni jinsi gani alivyoweza kuingia SA na kutoka kimaisha ni kama tu wazamiaji wa kwetu!
Lazima ijulikane alianzaje, kinyume chake ni upuuzi kumjadili
Nam admire huyu hapa.
images(2).jpg
 
Back
Top Bottom