Funzo la Maisha ya Ivan Ssemwanga kwa wana East Africa

Kama Sangoma'' traditional healer wa kuaminiwa! Akajipatia mtaji wa kutisha kufanya biashara ya chuo
Umemuona bush doctor?
Anaendelea kupata international recognition.

Nyinyi endeleeni kuloga.
 
Umemuona bush doctor?
Anaendelea kupata international recognition.

Nyinyi endeleeni kuloga.
Soma namba "9" utamuelewa. Traditional healers hawalogi, wanatibu kwa mitishamba asilia. Wanaologa ni Sorcerers.
 
Angekua jinsia pendwa,kweli ungegawa kama alivyokua anagawa pesa Ivan... au unajisifu tu kwenye keypad,tuwe fea tunapokomenti mkuu,yawezekana hufikii hata robo ya utajiri aliokua nao Ivan,ok anyway,endelea kujisifu kwenye keypad,yawezekana ni mtu wakuhonga kwa jinsia pendwa kama ulivyojitanabaisha.
Nani aliekwambia kugawa pesa ni lazima uwe tajiri?!

Hujawahi kuona mwanamke hana kazi wala kibarua na anaongwa pesa?!
 
Jamaa hadi anakufa bado mapenzi yake yapo kwa Zari, alimpenda sana huyu mwanamke na aliamini siku moja atarudi kwake
 
11. Tanzanians tunapenda sana habar za watu kuliko maendeleo yetu binafsi.
Ungekua na maendeleo mkuu usinge kuja kusoma habari zinazohusu watu, watanzania kwa unafiki ni balaa...
 
Nimepitia habari kuhusu huyu SOCIALITE wa Uganda kwenye vyanzao kadhaa vya habari. Nimepata somo la kufundisha wengine kuhusiana na maisha ya huyu Marehemu Ivan Ssemwanga.
Nawasilisha kwenu kama nilivyopakua huko. Ila naomba wanaojua English wajaribu kuwatafsiria waabudu Lugha ya Taifa.

Before passing on, Ivan was a darling, not only in Uganda but in South Africa as well. Locals loved him for his generosity and charitable works every weekend.It’s no wonder his Vigil in S.A was attended by throngs of mourners. On Thursday 25th May 2017, socialite and businessman Ivan Semwaga breathed his last in a South African hospital after 12 days on the sickbed.His death, despite being abrupt, caries a lot of message to anyone still breathing. Before he is lasid to rest, it’s prudent of us to look back and try to learn a few things from Ivan Semwanga’s Life.
  1. Breaking up doesn’t mean enmity
When Ivan and Zari, the mother of his three children, broke up, the former didn’t create any hostility or friction between them. Instead, he tried hard to lure Zari back into his life. Despite the few instances where his friends tried to create stories, he didn’t subscribe to humiliating the mother of his children.
2. Not everyone close to you likes you
Even before his demise, friends and family began to fight over his property. Not only did they show dire interest in his things but probably prayed that he doesn’t wake up from that coma. Having friends is paramount, but not everyone is there for the friendship. Some are there for the benefits that come with it.
3. Family is everything
Despite his spending habits and endless trips in and out of South Africa, Ivan never abandoned family. He occasionally checked on his sons and his brothers back at home. He was a busy big spender, but he always valued family.
4. Show off but plan for the future
Undeniably, he was one of the biggest spenders to ever grace the Ugandan showbiz industry. His December parties were defined by open bars, raining money and other huge surprises. Much as he threw money around though, he saved and established many ventures Including schools in South Africa, mansions in Uganda and more others.
5. Plan for the kids
The wars that are currently brewing between family and the mother of his children, is majorly because of one thing—he created something worth fighting for. Even if he didn’t write a will, it’s by default in African culture that the kids inherit their dad’s property.
6. Life is short, live it as you please
For the famous person he was, Ivan rose to fame because of his lifestyle. He would jet in tonight and hit the bar 30 minutes later. However much he hustled, Ivan took time to spend and enjoy the fruits of his sweat. “Work hard, play hard”, that was his major precept.
7.Love is important
From the day Zari walked out of his life, Ivan was never the same again. He became miserable and would often be seen spending but unhappy. He valued his affection with Zari that he never ever publicly replaced her. Up to date, no other woman is known to have been his soulmate after Zari.
8. Sharing is caring
He spent hard, he worked hard, but on top of them all, Ivan shared hard. His charity works both in South Africa and Uganda were one force to reckon with.His last visit to Uganda also featured a charity to M-Lisadda foundation in Nsambya where he gave out money and basic needs to the less privileged kids.
9. Persistence pays
His story to the top is one of a strong man willing to defy all odds to achieve his dreams. His trip to South Africa was turbulent enough that he was even arrested at the Zambia border. For a weak man, this was a point to give up and go back home. But he didn’t. On reaching South Africa, his trade was in traditional healing, something that no one ever saw coming. He kept going hard until he accumulated a fortune enough to drift and do legit business. Had he given up in the first stages, maybe no one would ever know who the Kayunga boy Ivan is.
10. Respect your in-laws
Even after splitting with Zari, Semwanga never turned his back on his in-laws. Zari’s little brother was his tight buddy. Recently, it emerged that whenever he would visit Uganda, Ivan always paid a visit to his mother in law and for a meal. That was the utmost respect anyone would ever accord his in-laws.
Nawasilisha.
Sema hili yai ulilotumia ndo mitihani inapoanzaga sasa, nimeelewa sentensi ya mwisho tu isemayo "NAWASILISHA"
 
Alikuwa afya mgogoro yule hakuna cha kujifunza hela zote Gym anazipita tu kama kituo cha polisi. Pombe na kitimoto sio sifa, vijana tuwe makini na afya zetu.
Wenye pesa wengi wanaweka gym nyumbani sikuhizi
 
Sema hili yai ulilotumia ndo mitihani inapoanzaga sasa, nimeelewa sentensi ya mwisho tu isemayo "NAWASILISHA"
Nitakutafsiria hadi namba 7 nyingine nitamalizia baadaye:

Kabla ya kifo chake Ivan alikuwa kipenzi cha wengi si Uganda tu bali hata SA. Wenyeji walimpenda kwa ukarimu wake na kazi za kujitolea kila Wikiend. Si jambo la ajabu mazishi ya Ivan huko SA kuhudhuriwa na waombolezaji wengi. Mnamo tarehe 25/5/2017 Socialite mfanyibiashara Ivan Ssemwanga alipumua mara ya mwisho hospitalini baada ya siku 12 katika kitanda cha wagonjwa. Kifo chake licha ya kuwa cha ghafla kimepeleka ujumbe kwa yeyote anayeishi. Kabla hajazikwa ni muhimu sisi kuangalia nyuma na kujaribu kujifunza vichache toka kwa maisha Ivan Ssemwanga.

1.(Kuachana hukumaanishi Uadui)
Kipindi kile Ivan na Zari, mama watoto wake walipoachana hukujenga uadui au msuguano kati yao. Badala yake alijaribu kumrudisha Zari katika maisha yake. Licha ya kwamba kuna wakati rafiki zake walijaribu kumpakazia Zari hakudiriki kamwe kumuaibisha mama watoto wake.

2.Siyo kila aliye karibu yako anakupenda)
Kabla hata ya kukata roho marafiki na ndugu au familia walianza kugombania mali zake. Siyo tu kwamba walionyesha kutaka mali yake pia waliomba asiamke kutoka kwenye ‘Coma’. Kuwa na marafiki ni muhimu lakini siyo kila mmoja yuko na wewe kwa urafiki. Wengine wako pale kwa faida itokanayo na huo urafiki.( kimaslahi zaidi).

3.(Familia ni kila kitu.)
Licha ya tabia yake ya matanuzi na safari zisizoisha nje na Ndani ya SA, Ivan kamwe hakutelekeza familia yake. Kila mara alikuwa anacheki watoto wake na ndugu zake walioko nyumbani Uganda. Alikuwa anajihangaisha na matanuzi lakini mara zote alijali familia yake.

4.( Fanya matanuzi lakini jipange kwa baadaye)
Ni ukweli usiopingika alikuwa ni mmojawapo wa watumiaji wakubwa walioleta neema katika Showbiz ya Uganda. Matanuzi yake ya mwezi Desemba mwaka jana yalikuwa ya kufungua bar, kunyeshea watu mvua ya fedha na Surprise nyingine kubwa kubwa. Jinsi alivyokuwa anatupa fedha lakini aliwekeza na kufungua kampuni nyingi pamoja na shule huko SA, Majumba ya kifahari Uganda na kwingineko.

5. Panga kwa ajili ya watoto wako)

Vita iliyolipuka kati ya ndugu zake na mama watoto wake ni kwa sababu ya kitu kimoja tu:- alijenga kitu kilichostahili kugombaniwa yaani chenye thamani ya ugomvi. Hata kama hakuandika wosia ni kawaida katika mila za kiafrika watoto kurithi mali ya baba yao.

6.Maisha ni mafupi ishi utakavyo)

Kwa mtu maarufu kama yeye alivyokuwa Ivan, umaarufu wake au Ustaa wake ulikuja kwa maisha aliyokuwa anaishi. Aliweza kutua baa usiku na kujulikana dakika 30 baadaye. Hata kama ni kiasi gani alichohaso kupata alichokipata alichukua muda na kufurahia matunda ya jasho lake.” Fanya kazi kwa bidii , cheza kwa bidii, huo ndio ulikuwa msimamo wake mkuu.

7 ( Mapenzi, Penzi ni Muhimu)

Toka siku Zari aliondoka kwenye maisha ya mapenzi na Ivan, Ivan hakuwa tena mtu yule wa kawaida. Aliumizwa, aliumia na akawa na huzuni. Alikuwa anatanua lakini hakuwa na furaha. Alithamini sana mapenzi yake kwa Zari na kamwe hakutoka hadharani na mwanamke mwingine Hadi leo hakuna mwanamke mwingine anayejulika kuteka moyo wa Ivan baada ya Zari.

8. Sharing is caring
He spent hard, he worked hard, but on top of them all, Ivan shared hard. His charity works both in South Africa and Uganda were one force to reckon with.

His last visit to Uganda also featured a charity to M-Lisadda foundation in Nsambya where he gave out money and basic needs to the less privileged kids.

9. Persistence pays

His story to the top is one of a strong man willing to defy all odds to achieve his dreams. His trip to South Africa was turbulent enough that he was even arrested at the Zambia border. For a weak man, this was a point to give up and go back home. But he didn’t. On reaching South Africa, his trade was in traditional healing, something that no one ever saw coming. He kept going hard until he accumulated a fortune enough to drift and do legit business. Had he given up in the first stages, maybe no one would ever know who the Kayunga boy Ivan is.

  1. Respect your in-laws
Even after splitting with Zari, Semwanga never turned his back on his in-laws. Zari’s little brother was his tight buddy. Recently, it emerged that whenever he would visit Uganda, Ivan always paid a visit to his mother in law and for a meal. That was the utmost respect anyone would ever accord his in-laws.
 
Hivi Machache na ex wife wake wanaongea? Maanake kaacha nyumba ya ujana wake kaenda Oa dgdg na kujipatia Watoto.
Wanaongea vyema sana Machache alimuacha ex wake,nasikia(sina uhakika) kwa sababu yule mama alitembea na family doctor wao
 
Lazima ijulikane alianzaje, kinyume chake ni upuuzi kumjadili
Nam admire huyu hapa.
View attachment 517262
Alianza hiviiiiiiiii:-
News / How Ivan Semwanga Accumulated Riches in South Africa

Habari/Jinsi Ivan Ssemwanga alivyoikusanyia utajiri Africa ya Kusini

Marehemu Ivan Ssemwanga alikuwa mwanaume msiri. Tabia yake ya kula bata ilipelekea watu wengi kumtolea macho wakishangaa ni jinsi gani alivyoweza kujikusanyia utajiri tena katika nchi ya ugeni. Jinsi alivyojijengea maisha ya raia mwema na jinsi alivyotua SA tuone ni jinsi gani alivyoweza kujiunga na juhudi za rafikize na kuwa tajiri hadi kufa.

Aliweka mguu kwa mara ya kwanza SA miaka ya mwanzo ya 2000 kwa msaada wa rafiki yake Muwonge. Hata hivyo safari yake kama ilivyoripotiwa awali haikuwa laini. Alikamatwa mpakani mwa Zambia lakini aliweza kuaachiliwa. Ivan alipofika SA alivutiwa na njia rafiki Bosi wake Kabwa Kaganda alizotumia kujipatia fedha nyingi kutoka kwa SA then unsuspecting South Africans. Kwa udadisi na kapuku wakati huo Ivan alifundishwa na huyu mganga wa kienyeji ambaye alituhumiwa kutumia mazingaombwe kuwaibia SA fedha kwa kuwapa huduma ya ‘Black Magic.

Ni hadithi ndefu lakini kwa kifupi Ivan aliweza kujijengea kilinge chake huko lakini alikuwa hafurahishwi na alichokipata. Yeye na rafiki yake ambaye chanzo chetu cha habari hakikumbuki walitengana na Kabwa Kaganda na kwenda kuanzisha Kilinge chake binafsi huko Pretoria. Hapa asingeweza kupata hata penny kama Ivan Ssemwanga. Alijibatiza na kujiita Dr Shaba wa Shaba. Kwa kutumia ujanja huo huo Ivan alifanikiwa kjijenga kama Mganga wa Kienyeji akajipatia Keshi/taslimu akafanikiwa kununua gari lake la kwanza BMW Dolphin Nyeupe model 3251. Baada ya kujipatia umaarufu na kuaminiwa na wenyeji wa Pretoria Ivan alifungua matawi kadhaa SA na kuendesha huduma yake ya tiba za kienyeji. Ni hapa yeye na marafiki zake walipopewa jina la utani la ‘Sangoma’ likimaanisha mganga wa kienyeji.

Umaarufu wake ulienea toka SA na kwingineko kuliko alivyotarajia. Ivan aliacha kuwahudumia wateja aliodhani ni riffraff. Alimiliki magari kibao akitumia utajiri alioupata kwa jasho lake na biashara ikaendelea kukua. Siku moja ya bahati ya mwaka 2004, shemejie Thabo Mbeki alitembelea Kilinge chake. Alikuwa na kifafa na alitaka Ivan amsaidie kupona. Baada ya kumdhumia na washirika wake wa Kiganda mama huyu alipona. Bahati tena kwa Ivan ilimuangukia baada ya huyo shemeji kumtuma mke wa Mbeki ambaye alikuwa na matatizo ya uzazi kwa Ivan. Kuona amepata mteja wa hali ya juu Ivan alikimbia Uganda kumchukua mganga kweli, kutoka Jinja akamleta SA akaahidi kumpatia SH Mil 1 kila mwezi.

Mke wa Mbeki alipopona Ivan alipata wateja wengi na waliendelea kupona Ivan akajijenga zaidi na zaidi akaanza kujitangaza kwa nguvu, huku akiongeza gharama ya huduma za ushauri. Alipanua biashara yake kwa kuanza kuagiza magari,akafungua shule ya udereva katika eneo la kilinge chake cha Shaba Wa Shaba. Alipofikiri sana kuhusu asili ya biashara yake Ivan alianza kujitoa kwenye hiyo biashara ya uganga akaamua kuanzisha shule. Ndipo hapo alipofungua Brooklyn City College na mnyororo wa nyinginezo.

( Kwa msaada wa mtandao, nimetafsiri from English to Swahili)
 
Tapeli kiaina!!!
 
Back
Top Bottom