maranguvillage JF-Expert Member Joined Sep 8, 2023 Posts 2,318 Reaction score 5,241 Aug 21, 2026 #81 min -me said: Lipumbavu sana hilo jamaa , liliendekeza ujinga Click to expand... Mbaya zaidi hana Maisha Analialia tu wenye mji wanavyompendezesha Demu wake
min -me said: Lipumbavu sana hilo jamaa , liliendekeza ujinga Click to expand... Mbaya zaidi hana Maisha Analialia tu wenye mji wanavyompendezesha Demu wake
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 61,254 Reaction score 177,408 Aug 21, 2026 Thread starter #82 Baba mtakatifu91 said: Mkuu ishiwa hela ya kuhonga ila usiishiwe ya bia Click to expand... Sidhani
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 61,254 Reaction score 177,408 Aug 21, 2026 Thread starter #83 comrade_kipepe said: Chanuo anaonekana mtamu balaa Click to expand... Lips zake tu
comrade_kipepe JF-Expert Member Joined Jun 25, 2019 Posts 8,699 Reaction score 17,985 Aug 21, 2026 #84 min -me said: Lips zake tu Click to expand... Yule ipo siku yake
Satan JF-Expert Member Joined Aug 9, 2017 Posts 2,183 Reaction score 3,621 Aug 21, 2026 #85 Kama tatizo ni hilo tu! Basi wanawake wote wangekuwa wameolewa na Elon Musk. Labda kama kuna sababu nyingine ambayo hujataka kuisema
Kama tatizo ni hilo tu! Basi wanawake wote wangekuwa wameolewa na Elon Musk. Labda kama kuna sababu nyingine ambayo hujataka kuisema
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 75,366 Reaction score 185,345 Aug 22, 2026 #86 Smart911 said: Mambo yao waachie wenyewe... Cc: Mahondaw Click to expand... Ndokina nani haoo???