Funzo kutoka kwa Madebe na Chanuo

Kale kajamaa ni kipumbavu, kamempa chanuo nafasi ya kuonekana ila kenyewe kakajisahau na kubaki na upumbavu wa mitara na ujinga ujinga wa kiswahili tu🚮
Labda umewajua juzi! Alikua anamminya asiigize demu akawa kachakaa baada ya kuachana binti alikosa hadi pakukaa ila akapata nafasi ya kuigiza ndo hivyo unavyomuona anang'aa siku hizi.

Jamaa ni wale watu awe na hela asiwe nazo yeye ataonekana tu mchafu.
 
Huko mjini kwenu mazeee kila anayetoka kijijni akija anakuwa selebriti.
 
Hana hela hata muonekano wake upo kinguruwe nguruwe tu
 
Labda kama umemfaham madebe kwa hili sekeseke linaloendelea saizi,.
Ila kwa tunaomjua zamani pamoja na mateso aliyokua anayapitia chanuo kiukweli wacha aweweseke Tu saizi
 
Labda kama umemfaham madebe kwa hili sekeseke linaloendelea saizi,.
Ila kwa tunaomjua zamani pamoja na mateso aliyokua anayapitia chanuo kiukweli wacha aweweseke Tu saizi
Ongezea steki kidogo.
 
Et kumbe wanaume walioko kwenye ndoa mnajinyea?
Huyu Dada naye hajui kuficha madhaifu ya mwenzq wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…