Funzo kutoka kwa Madebe na Chanuo

😃😃
 
Aliyeandika huko twitter kawajua hawa jana.
Mwanamke gani atakubali kila siku kufua boksa zenye kinyesi?
JF inaangamia. Hivi kweli hata wewe unaupa promo huu ujinga? Unaweza kuthibitisha kama huyu kijana alikuwa anaacha kinyesi kwenye boksa??
 
JF inaangamia. Hivi kweli hata wewe unaupa promo huu ujinga? Unaweza kuthibitisha kama huyu kijana alikuwa anaacha kinyesi kwenye boksa??
Mpunguze basi ujuaji! Majukwaa zaidi ya 10 nenda jamii intelligence
 
min -me leo umechafukwa sana jitaidi sana usikereke kwa namna hii inafupisha maisha 😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…