Funzo kutoka kwa Madebe na Chanuo

min -me

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2022
Posts
58,066
Reaction score
166,623
Nimeikuta x twitter, hichi kisa cha hawa wasanii wawili kuachana, na kutupiana vijembe.

Kwa kusoma kwa kina , nimegundua huyo Madebe ndio Pumbavu takataka kabisa.

Unammtoa mwanamke mzuri, kwenye shida unamweka mjini ila wewe unashindwa kujinasua kwenye tabu na kuendana nae na wakati?

Ni aina ya wanaume wapumbavu kuwahi kutokea , ni kweli kamtoa bidada mzuri mbali ,,ila lenyewe lipo kama goigoi tu , linafuga kitambi uchwara cha pombe chafu na madevu uchwara 🚮

Ni mwanamke gani mzuri kama unaweza mfanya ajisimamie na wewe ukabaki kwenye uchafu na umaskini akakuvumilia, wajanja wa mjini wasikuchapie?gademitt.

Hawa wapumbavu kama madebe ndio wanasababisha tuna laumu wanawake bure kmmmmk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…