Dah!!๐คฃKumbe De gunner na eleven na huyu ndo mtu mmoja, huyu eleven namjua kuna kipind alkuw hana kaz kabisa nimamuunga pale rangi na jamaa flan hiv wakampa sehem ashone nguo.
Hakuw hiv au kapigwq na maisha sana kawa chiz frem, mwez ukiwa mchanga minara haisomi
Nina ujumbe wako kutoka kwa kanyewest!Tumempa hii ahadi ๐
Na hatutaki watu wa heshima washughulike nae, tupo sisi vichaa wenzie tutalala nae kiulalo ulalo (kwa Sauti ya Magufuli, RIP)
๐ ๐ ๐ ๐ Kwanini wamemkataza na yeye jamani, huyu mtoto majanga yanamuandama sana.Nina ujumbe wako kutoka kwa kanyewest!
Mods wamemfungia hasijibu comments wala kufungua uzi.
Kasema akirudi atakupelekea moto hadi ukimbie jf.
Sabab ni moja tu, mods wanajua yeye ni potential na muhim kulko mtu yoyote humu. Atachukua nyota ya mex melo bora wamfungie mapema๐ ๐ ๐ ๐ Kwanini wamemkataza na yeye jamani, huyu mtoto majanga yanamuandama sana.
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃSabab ni moja tu, mods wanajua yeye ni potential na muhim kulko mtu yoyote humu. Atachukua nyota ya mex melo bora wamfungie mapema
Kasema elevenn itarudi na badge ya platinum ili atufunge midomo l! Anatafuta 100k kwa udi na uvumba๐ ๐ ๐ ๐ Kwanini wamemkataza na yeye jamani, huyu mtoto majanga yanamuandama sana.
Na tutajua hatujui siku akipata uplatinum, binafsi i will question my life decisions ๐คฃ nitabidi nipitie upya maamuzi yangu ya kubaki JF siku Eleven akiwa platinum.Kasema elevenn itarudi na badge ya platinum ili atufunge midomo l! Anatafuta 100k kwa udi na uvumba
Yeye awe tu platinum! Najua ataenyeka kupata 100kNa tutajua hatujui siku akipata uplatinum, binafsi i will question my life decisions ๐คฃ nitabidi nipitie upya maamuzi yangu ya kubaki JF siku Eleven akiwa platinum.
Halafu tatizo lake mzito, angejua angetuchangisha sisi maadui zake chap tu. Ila anajua tutamsimanga afe ๐๐๐๐Yeye awe tu platinum! Najua ataenyeka kupata 100k
Ungechanga?Halafu tatizo lake mzito, angejua angetuchangisha sisi maadui zake chap tu. Ila anajua tutamsimanga afe ๐๐๐๐
Ningechanga ili nimtese vizuri kwa masimango, wanasema hela ya mwanamke chungu ๐Ungechanga?
Mimi nisingechanga nipo apeche alolo
๐น๐น๐น Mtsieeww em toka huko!!Kuna jamaa nakumbuka nae alkiuaga na pigo hizi, yan yeye akikuambia nyumban kwang nina TV ya nchi 55 ukambishia kuwa hana hela au uwezo huo kesho anakodi bodaboda anakuja nayo kukuonesha kabisa.
What you think about this kind?
Ni yeye ana id lukuki. Unamfahamu kivipi?Ila huyu dogo kama ndo Eleven mwenyew namfaham
Kuna mwaka alikuw hana kaz nikamuunganisha na jamaa yang flan hiv apate eneo ashone nguo mbagala rangi tatuNi yeye ana id lukuki. Unamfahamu kivipi?
Ni yeye ana id lukuki. Unamfahamu kivipi?
๐น๐น๐น Jamani khaaa..!!Kuna mwaka alikuw hana kaz nikamuunganisha na jamaa yang flan hiv apate eneo ashone nguo mbagala rangi tatu
๐น๐น๐น Dah nimecheka sana anapiga michongo mbalimbali ya kingadu..!!Ni dogo tu wa makamo, na kama ndo hivyo kun kipindi nilipaleka vijana wakabandike bango za yas. Ukafanyikq ujinga ujinga flan hiv wakadhulumiwa, wakaja hapa kunililia sana kwamba mm tapeli.
Ah vijana wa hum ujanja wao nyuma ya keyboard tu. Sema mm niko kariakoo hapa Donge muda huu we uko wap nije?๐น๐น๐น Dah nimecheka sana anapiga michongo mbalimbali ya kingadu..!!