Funzo kutoka kwa Elevenn/de Gunner

Sasa hizi Multiple ID's ifike mahali @moderators muziunganishe zote tujue mbivu na mbichi
 
Bado haujajua tatizo lako na wana JF ninini….

Kujisifia ni haki yako, kuna mtu alikuwa anaitwa bill nani nani sijui humu, Anajisifia balaa we bado amature kwenye hii sector, lakini unajua why watu walikuwa hawana tatizo nae? Ndio kwanza tulikuwa tunamshabikia humu, kukiwa na mtu anaomba msaada tunam-mention aje atupige tafu, deep down tunajua hana msaada wowote , basi tu vibe tunacheka yanaisha.

Wewe, you wanted to shine on expenses of other people’s personalities, you wanted to break/to put people down ili ubaki juu… No one will let you do that, Tumekupokea ulivyokuja huamini macho yako ……!

JF sio sehemu serious kihivyo (ukiacha jukwaa la siasa) lakini ukiwa muonevu watu nao wanaamua kuwa serious na wewe mpaka ukimbie ID yako, na mods nao wanapiga rungu kulinda sheria za JF 😅

Bado haujajua tatizo lako na wana JF.
 
Tupo nae mpaka akimbie😂
 

Na wewe ni mmoja kati ya hawa jamaa waliompelekea moto huyu kijana mpaka akafungiwa ID nyingine?
 
✍️✍️
 
Mi ni mpinzani wake wa jadi, akitakaga kuanika ukichaa wake nampa jukwaa hadi avue nguo 😅
Kumbe De gunner na eleven na huyu ndo mtu mmoja, huyu eleven namjua kuna kipind alkuw hana kaz kabisa nimamuunga pale rangi na jamaa flan hiv wakampa sehem ashone nguo.

Hakuw hiv au kapigwq na maisha sana kawa chiz frem, mwez ukiwa mchanga minara haisomi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…