ngamba 99
Member
- Aug 15, 2016
- 85
- 38
Akiwa cuf aliwaponda sana cdm pamoja na ccm kuwa ni vyama vya kibaguzi ,cdm ni ccm b mala oh cdm wanaukabila,wabaguzi ,muda kidogo akajenga urafiki na baadhi ya viongozi wa cdm mambo wakawa kimyaa!!!,mgogolo wa vingozi ndani ya cdm ulio sababisha baadhi ya viongozi kujiengua na kujiunga na chama cha act ulikuwa na faida kwa afande nae kavaa viatu vya act hapo hapo cuf ,cdm wakawa wabaya mashambulizi yakaanza kama kawaida ,vijana wa cdm hawakukubali nao wakaanza kumshambulia tukaanza kuona na picha zisizo na maadili za afande, kwa afande act kikawa lulu nahasa baaada ya chama kumzawadia nafasi ya kugombea ubunge.uchaguzi umeisha matalajio yamefeli act wamekuwa wabaya tena kwake ,chakushangaza zaidi amepata wafuasi kutoka kwa wale waliokuwa wakimshambulia na kutuma picha zake za ovyo
