OLD KOROGWE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2015
- 556
- 207
Ukipata majibu ya chawa wanatokea wapi, ndipo na majibu ya swali lako litapatikana hapo!!
Ndio maana rasta hali nyama, huwezi kuta mboga ya majani mfano mchicha ukioza ukatoa funza, niko tayari kuthibitishiwa vinginevyo, nahisi vyakula ama viumbe vyenye damu ndio huwa na funza
Hili swali ni pasua kichwa. Nilijiuliza nilipokua drs la 7. Wataalamu fungukeni mtutoe tongotongo machoni
Sikubaliani na wanaotuaminisha kuwa ukiona funza basi lzm kuna inzi au mdudu mwingine katagia mayai hapo. mi japo sio msomi naweza kukubari kuwa kuna aina fulani ya funza kweli wanaweza kuwa ni hatua fulani ya mdudu katika ukuaji, lkn sio kila funza lzm atasababishwa na mdudu mwingine eti katagwa kama mayai. nilijaribu kuweka kipande cha nyama mbichi ndani ya chupa,kisha nikafunika vizuri bila kuruhusu nafasi ya hewa. Lkn baada ya Sikh kadhaa niliona funza kibao ndani ya chupa.
Ndio maana rasta hali nyama, huwezi kuta mboga ya majani mfano mchicha ukioza ukatoa funza, niko tayari kuthibitishiwa vinginevyo, nahisi vyakula ama viumbe vyenye damu ndio huwa na funza
wewe si mathematics hebu tueleze inakuaje bana acha masiharaUmefunika chakula vizuri kabisaa, hakuna nafasi ya kuingia mdudu yeyote, ila bahati mbaya ukasahau kukiweka kwenye friji.
Siku kadhaa zinapita unafunua chakula unakuta kimeharibika na funza tele wamejaa, wametokea wapi hawa funza?
Nyama ipo ndani ya mfuko au chombo bahati mbaya imeoza unakuta funza kibao, tena wakubwa, wanatokea wapi hawa funza?
Hawa funza huwa wanatokea wapi? ninajiuliza mara nyingi sijawahi pata majibu!!
mkuu chombo kinafunikwa hakuna nafasi ya kupita mdudu, hata hao nzi hawawez kupenya na kutaga mayai. lakini ukifunua chombo unakuta funza!
Ndio maana rasta hali nyama, huwezi kuta mboga ya majani mfano mchicha ukioza ukatoa funza, niko tayari kuthibitishiwa vinginevyo, nahisi vyakula ama viumbe vyenye damu ndio huwa na funza
nami nashangaa sana hawa wadudu hata ununue kama nyama safi uiweke hata ghorofa ya kumi tena uifunge vizuri baada ya siku kadhaaa lazima funza wataibuka tu,na hata kama nzi hakuna[/QUOTEinawezekana nzi alitaga mayai yake ikiwa buchani mkuu bacteria hawawezi geuka funza hata siku moja
"Bila kuruhusu nafasi ya hewa"? ulitumia kifaa gani ku eleminate air iliyokuwemo ndani ya chupa kabla huja introduce hiyo nyama mbichi?.Lazima kulikuwa na air ndani ya chupa na air imebeba bacteria wengi sana waliosaidia kuozesha hiyo nyama.