kweliiii??Try 30minutes to come mambo yanapakuliwa
Je mkuu na walioandikiwa not foundTarifa nlizonazo ni izi jaman
*Hello*
*LINK ILIYOKUWA INATUMIKA KUANGALIA SELECTION ZA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA 2016/2017 VYUO VIKUU ,IMEFUNGWA(DEACTIVATED)*
*WALIOONA WAMEONA,AMBAO HAWAJAONA SOON KILA KITU KITAKUWA OUT*
May b leo ckuku ngoja tu w8 saa 6 ucku wakuu
NOT FOUND ISIKUTIE SHAKAJe mkuu na walioandikiwa not found
Eb achen kubishana vijana tusubirien assacination aseee leo ckuku kesho labda
Kwa hiyo kama coz ziko vile vile tano kwenye profile utakuwa umechaguliwa?Sasa apo ipo hiv janja saiv sever zao c zipo deactivated ko huwez ingia kuchek apo ilikuhakiki kama umecheguliwa nenda kwenye profile lako lile bro ukiona coz zipo vile vile 5 jua apo umecheguliwa jaribu kurudi hi link http://cas.tcu.go.tz/cas_core/check_results search kwa information tofaut mf.index No ya form 6 , email au No ya cm but kama umeumeandkiwa iv not found alaf utakuwa ujachaguliwa bac ukingia kwenye profile utakuta tarfa kabsa uja chaguliwa na zile koz tano hutozion ko uta pewa option za ku apply upya bro
Yap kwa mm nav faham ndo ivo but ukiwa ujachaguliwa unapewaga option ya kuchagua upya inamaana unakuta huzkut coz unakuta uuepewa second option ya ku select newly bobKw
Kwa hiyo kama coz ziko vile vile tano kwenye profile utakuwa umechaguliwa?
Ata mm pia yakitoka ntatangaza apa atae penda ntamchekia nipo full na satellite znanimulika apa geto internet speed 1000000xGB per secyakitoka mniambie niwachekie wakuu nipo full hapa