Fununu Fununu za Freeman Mbowe kuwa PM

Fununu Fununu za Freeman Mbowe kuwa PM

Kasome vizuri katiba mbovu ya 1977 ibara ya 51 (2).
Hakuna tetesi hapo, akili ya tetesi changanya na zako
 
Haiwezekani kabisa maana katiba yetu hairuhusu.
 
Kasome vizuri katiba mbovu ya 1977 ibara ya 51(2).
Hakuna fununu hapo, akili za fununu changanya na zako
 
Mbowe waziri mkuu??? Tutaandamana kupinga. Mtu anayeweza kuuza chama ili apate pesa aweza pia kuuza nchi tena rais akiwemo ndani. Mbowe uwaziri mkuu haiwezekani

Wadau kuna intel nimeipata muda sio mrefu mpaka nimeshtuka hapa sina raha kabisa. Kwamba JPM anatarajia kuwasilisha jina la Freeman Mbowe kwa katibu mkuu kiongozi Ombeni Sefua likiwa ndio jina pendekezwa la WAZIRI MKUU mtarajiwa hii ikiwa ni katika ule mchakato wa kuitisha bunge la jamuhuri ya muungano la November 17. Hii sasa mbona ni zaidi ya HAPA KAZI TU. Huyu tinga tinga atatuuwa kwa presha sasa.
 
Rais atapendekeza Waziri Mkuu kutoka kwenye wabunge wenye wabunge wengi.
 
Wadau kuna intel nimeipata muda sio mrefu mpaka nimeshtuka hapa sina raha kabisa. Kwamba JPM anatarajia kuwasilisha jina la Freeman Mbowe kwa katibu mkuu kiongozi Ombeni Sefua likiwa ndio jina pendekezwa la WAZIRI MKUU mtarajiwa hii ikiwa ni katika ule mchakato wa kuitisha bunge la jamuhuri ya muungano la November 17. Hii sasa mbona ni zaidi ya HAPA KAZI TU. Huyu tinga tinga atatuuwa kwa presha sasa.
hawezi kujaribu japo mbowe rafiki yake
 
Mbowe waziri mkuu??? Tutaandamana kupinga. Mtu anayeweza kuuza chama ili apate pesa aweza pia kuuza nchi tena rais akiwemo ndani. Mbowe uwaziri mkuu haiwezekani

Mbowe hawezi kuwa waziri wa serikali ya magamba
 
Wadau kuna intel nimeipata muda sio mrefu mpaka nimeshtuka hapa sina raha kabisa. Kwamba JPM anatarajia kuwasilisha jina la Freeman Mbowe kwa katibu mkuu kiongozi Ombeni Sefua likiwa ndio jina pendekezwa la WAZIRI MKUU mtarajiwa hii ikiwa ni katika ule mchakato wa kuitisha bunge la jamuhuri ya muungano la November 17. Hii sasa mbona ni zaidi ya HAPA KAZI TU. Huyu tinga tinga atatuuwa kwa presha sasa.

Dogo unaijua na kuielewa katiba ya nchi yako.
 
Matokeo ya uchaguzi mkuu huu yamewafanya baadhi ya watu kuwa paranoid.
 
Amteue huyo aliyeuza chama chake ili aje auze serikali?
 
Wadau kuna intel nimeipata muda sio mrefu mpaka nimeshtuka hapa sina raha kabisa. Kwamba JPM anatarajia kuwasilisha jina la Freeman Mbowe kwa katibu mkuu kiongozi Ombeni Sefua likiwa ndio jina pendekezwa la WAZIRI MKUU mtarajiwa hii ikiwa ni katika ule mchakato wa kuitisha bunge la jamuhuri ya muungano la November 17. Hii sasa mbona ni zaidi ya HAPA KAZI TU. Huyu tinga tinga atatuuwa kwa presha sasa.

Elimu Elimu Elimu
 
Duu wisho utasema na diamond platnum kuwa waziri wa ulinzi
 
Nawakumbusheni kua Mabadiliko yako palepale pamoja na yote yaliofanyika mpaka sasa. Wenye Masikio na wasikie.
Msiogope Enyi mlio-onewa na Kudhihakiwa.
Hakika mtafurahi na kushangilia.
Wakati ndio utakaodhibitisha hilo.
 
Wadau kuna intel nimeipata muda sio mrefu mpaka nimeshtuka hapa sina raha kabisa. Kwamba JPM anatarajia kuwasilisha jina la Freeman Mbowe kwa katibu mkuu kiongozi Ombeni Sefua likiwa ndio jina pendekezwa la WAZIRI MKUU mtarajiwa hii ikiwa ni katika ule mchakato wa kuitisha bunge la jamuhuri ya muungano la November 17. Hii sasa mbona ni ozaidi ya HAPA KAZI TU. Huyu tinga tinga atatuuwa kwa presha sasa.
Anampa Katibu Mkuu kiongozi ili iwe nini?
 
Back
Top Bottom