Fununu Fununu za Freeman Mbowe kuwa PM

Fununu Fununu za Freeman Mbowe kuwa PM

Kweli nimeamini walioko ukawa wengi hawaeliwi chochote eti mbowe pm kwa wabunge wepi?

JARIBU kumsoma MTU umuelewe inamaana hujajua mtoa mada ni Ccm anataka kujua tutapokeaje bangi zake
 
PM anatoka chama chenye Wabunge wengi au anayeungwa mkono na wabunge walio wengi.
 
Hahaaa uwiiii mbv zangu mie daa mtoa mada jaman nihurumie mbv zangu.
 
Kwih kwih.....kila mtu anaruhusiwa kuota.
Pitia katiba kuhusu waziri mkuu.
 
Hapana hiyo bhang aliyovuta jamaa ni ya kutoka Korotambe Tarime,Kwa Katiba ipi ambayo itamfanya Mh rais apendekeze jina la Freeman Mbowe!
 
Wadau kuna intel nimeipata muda sio mrefu mpaka nimeshtuka hapa sina raha kabisa. Kwamba JPM anatarajia kuwasilisha jina la Freeman Mbowe kwa katibu mkuu kiongozi Ombeni Sefua likiwa ndio jina pendekezwa la WAZIRI MKUU mtarajiwa hii ikiwa ni katika ule mchakato wa kuitisha bunge la jamuhuri ya muungano la November 17. Hii sasa mbona ni zaidi ya HAPA KAZI TU. Huyu tinga tinga atatuuwa kwa presha sasa.

Nadhani katiba inasema rais atachagua waziri mkuu kutoka chama chenye wabunge wengi.
 
PM anatoka chama chenye Wabunge wengi au anayeungwa mkono na wabunge walio wengi.

Yeyote kati ya uliyosema hapo juu. Anaweza akatoka upinzani ila kama akiungwa mkono na wabunge wengi toka vyama vyote inaruhusiwa.
Lakini Kiuhalisia yaani jinsi hali ilivyo, haiwezekani, wameafikiana lini mpaka JPM aamue kupendekeza jina la Mbowe kuwa PM?
 
Jambo haliwezekani kisiasa tu, lakini hakuna katiba yoyote inayozuia.
 
sio rahisi kufanya hivyo kwan katiba ya jmt imeandikwa kuwa chama kinacho shinda uchaguzi ndicho kinachounda serikali
 
Mbowe hawezi kushiriki kwenye najisi Kama Hilo Alkaeli he is always smart.
 
Jambo haliwezekani kisiasa tu, lakini hakuna katiba yoyote inayozuia.

Tatizo huijui katiba,kwa mujibu wa katiba Waziri Mkuu atakuwa ni Mbunge wa Jimbo wa kuchaguliwa aliyetokea Chama chenye Wabunge wengi maana yake kwa sasa ni CCM.
 
Ni wazo lako lakini bahati mbaya halina mashiko katika utaratibu wa nchi yetu. Kama alivyotangulia kusema msomi mwenzangu hapo juu Waziri mkuu hutoka kwenye chama chenye wabunge wengi bungeni na siyo kinyume na hivyo. Pili hata utaratibu wa kuwasilisha Jina la wazirri mkuu mpendekezwa kwenda kwa spika wa bunge haufanyiki kama ulliyosema. Aliyekupa habari hizo ni kweli alikuwa anaota tu. JAMBO HILO HALIWEZEKANI.
 
Back
Top Bottom