Fungus wa ajabu

Caroline Danzi

JF-Expert Member
Dec 19, 2008
3,713
1,263
A'aleykum/Bwana Yesu asifiwe sana wana JF

Wana JF, naomba ushauri wa kidaktari. Dada yangu wa kazi anaumwa fungus wa ajabu. Miguu yote ni vidonda, cha kushangaza fungus wamekula miguu mpaka kwenye unyao. Tumeshatumia kila dawa ya hospitali bila mafanikio. Anayejua dawa jamani anisidie.

Niashukuru kwa ushauri.

CD
 
Kama uko Dar,nenda St. Bernad Hospt muone Dr. Chuwa. Yeye anatengeneza mwenyewe dawa na ni kiboko ya resistant fungus
 
Kama uko Dar,nenda St. Bernad Hospt muone Dr. Chuwa. Yeye anatengeneza mwenyewe dawa na ni kiboko ya resistant fungus

Pia mwambie wakati anaendelea na matibabu awe anavaa viatu vya wazi kama ndala au sendals za wazi kabisa muda mwingi hasa anapokuwa nyumbani, ahakikishe miguu inakuwa mikavu muda wote (akitoka kuoga, chooni au kufanya kazi zitakazolowesha miguu ajikaushe ikauke kabisa), asivae viatu vya kufunika miguu kwa muda mrefu, na avifue kwa dettol anapovivua
 
Mpe pole sana, google tiba ya fungus kuna wakati niliiona tena kutoka hapa hapa jamvini.
 
Back
Top Bottom