Funguo ninazo mwenyewe!!!!

July Fourth

JF-Expert Member
May 2, 2012
2,240
794
Katika wodi ya vichaa, daktari alitaka kuwapima wagonjwa wake kama wamepata unafuu ama wameimprove hivyo alichora mlango ukutani na kuwaambia vichaa wote watoke nje kupitia ule mlango ulochorwa ukutani.. Basi vichaa wote isipokuwa mmoja walikimbilia ukutani fasta fasta ili wapite na wakaishia kujibamiza ukutani..
Daktari huku akiwa mwenye furaha akamfwata yule kichaa aliekuwa amekaa tulii akifikiri kapona na mazungumzo yakawa hivi..
Daktari: vipi mbna umetulia hapa badala ya kwenda kupita kwenye ule mlango kama wenzio walivofanya???
Kichaa: we tahira kweli, nitatoka baadae nikitaka kwa kuwa funguo ninazo mimi!! Lol:)
 
Back
Top Bottom