Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,976
- 13,435
bora ufanye hivyo ili uniokoeAmen!!!!!!!!!!!! ntafunga na kuomba kwa ajili yako.
Nalog off
bora ufanye hivyo ili uniokoeAmen!!!!!!!!!!!! ntafunga na kuomba kwa ajili yako.
Mkuu hiyo asilimia nne ni nje ya mahitaji mengine yanayoibuka katika hapo. Ila pia kipato ni zaidi ya milioni mojaKama ni milioni mama anapata elfu 40, muongezee kidogo iwe 5%. Ha ha ha
Asante Mkuu, na mimi nilijifunza kwa watu wengine zamani sana ndio na mimi nikauona ni mzuriAisee safi sana. Nimepndezwa sana na mpango huu.
Ni mada nzuri sanaNimeguswa sana na mada hii!
Wazazi ni kila kitu humu duniani!
Hahaa..maana yake asante sana.
Mkuu hiyo asilimia nne ni nje ya mahitaji mengine yanayoibuka katika hapo. Ila pia kipato ni zaidi ya milioni moja
Asante Mkuu, na mimi nilijifunza kwa watu wengine zamani sana ndio na mimi nikauona ni mzuri
Ni mada nzuri sana
Ila kujenga heshima bara kuna raha yake asikwambie mtu
Nalog off
Nimeikuta sehemu hii.
Vijana hebu jifunzeni, mzazi alokuzaa anastahili kuishi mahala pazuri kama wewe una uwezo! Acheni ujinga wa kununua altezza, kutanua kwenye majumba ya starehe wiki nzima, kula kwenye restaurant za maana, kuhonga mademu simu, kununua viwalo vya bei mbaya wakati mzazi wako anaishi kwenye nyumba ya kiwango duni! Ndo maana kila leo mara altezza imeingia mtaroni, mara simu imeibiwa, mara demu ulomgaramikia kaku-dump, mara umetuma pesa kibao kwenye wrong number and the like mishaps...,ni laana ya kuacha mzazi na maisha duni huku we ukitanua mjini. Fungukeni macho vijana esp wa kiume!
The truth shall set u free.
AmeeeeniNimeelewa brother,vizuri sana kwa kumjali mama. Utafanikiwa sana
Wachaga hoyeeee
kwa mwezi lazima ufanye furugu mara moja mpaka watu waseme basi.mwisho wa siku unaingia kwenye kiota kama ndege.....mara moja moja sio mbaya mkuu ukiendekeza hiyo sehemu inapoteza mwelekeo