M.E.M.A
JF-Expert Member
- Jul 27, 2013
- 1,373
- 472
- Thread starter
- #21
Na ambao watakuwa wabshi kukumbuka wazazi wao wapigwe tu...eeh. Na mimi nasema wapigwe tu eeh, maana hakuna namna nyingine. Na wengine wake zao wanaishia kugegedeka tu kirahisi huko...kwa kuwa mzazi wako kakuanbia hakufai we unaleta tu kiburi eti wewe ndio utaishi naye na sio wao..na nyie mpigwe tu eeeh