Umemsahau Nicas Mtei
Elizabeth Dominic tuunde mtandao wetu au vipi?
kwani post inasemaje??? Au nimekosea kuandika??
Halafu umenimiss eeehMtandao ushaundwa ni suala la kuunga tela tu............
We chukua mademu wa Kibondo Ar tuachie na wa Dar piaMimi natoa jasho mimacho twacha sijaona langu, basi mademu wote chit chat nawapenda na nitawaleta kwetu shy.
We chukua mademu wa Kibondo Ar tuachie na wa Dar pia
Elizabeth Dominic ila mi nakuwa nyuma yako afu chain inakuwa terminated
Duh uko sahihi kwa kufuata post...ila kazi unayo
...we endelea kusubiri tu alfu huyo unayetaraji akutaje usikie anatajwa na mwingine...
mmmh hubby tena, ina maana Anna Makinda ni lesbooo?
Halafu umenimiss eeeh
Mtandao mkali unaohusisha mambo ya kugandiana/kunasana