Funguka Mbunge Wako Yukoje?

Funguka Mbunge Wako Yukoje?

Mimi ninachangamto na wabunge wanaoniwakilisha kwenye majimbo ambayo ninamaslai nayo kama ifuatavyo:,
Mimi nafanyakazi mkoa wa Mwanza ninaishi Pasiansi ambapo nina nyumba huku Mbunge wangu ni Highness Kiwia, huyu jamaa pamoja ni rafiki yangu ,hayupo makini sana kwenye shughuli zake za ubunge.
Huko Mwanza ofisini kwangu ninapofanyia kazi ni mjini kati ambapo ni jimbo la nyamagana hata kura nilipiga nyamagana kwa sababu ndipo nilipojiandikisha, Mbunge wangu hapa ni Ezekiel Wenje, huyu nae simkubali sana ila anajitahidi kidogo.
Mimi ni mchaga wa Rombo,napapenda sana kijijini kwangu na ninajitahidi kwenda huko marakwa mara na nia nyumba yangu nzuri na ndio chumbuko langu, huko ninaye mbunge anaitwa Joseph Selasini, huyu anajitahidi sana kupigania wananchi wa jimbo lake mara nyingi namsikia wakija tembo kutka Kenya, na hata Bungeni huwaga anachangia mara nyingi tena anaongea point, kusema kweli nawapongeza waliomchagua huyu jamaa
Mimi pia ninamakazi ya kudumu Dodoma Mjini maeneo ya are e ipagala . hapa mjini dodoma Mbunge wangu ni David Malole, huyu jamaa waliomchagua wanajuta yupoyupo kama hayupo.this guy is doing nothing at all i am very sad and very disappointed by the people who choose this guy.mimi ni msikilizaji mzuri wa vipindi vya Bunge kusema kweli Sijawahi kumsikia hata siku moja akichangia bungeni, any way labda anachangiaga kwa maandishi.
Mimi pia nina makazi ya kudumu Dar es Salaam Kimara Butcher ambapo mbunge wangu huko ni John Mnyika nawapongeza wote waliompigia kura huyu jamaa, anatuwakilisha watanzania wote Bungeni na ni ndiye Mbunge ninayemfagilia sana kuliko wabunge wote ambao wanagusa maisha yangu kwa namna moja au nyingine wanaposhughulika vizuri kwenye majimbo yao.
 
mi wa kwangu toka nazaliwa enzi za Nyerere hadi sasa yupo mjengoni ila kwa sasa mafisadi papa wamempa U MONITOR katika kijiwe cha mipasho inayoongozwa na viti maalum. Ana bahati kasema hagombei tena.
 
Me Jembe mwenyew MBOWE 2najivunia kuwa Naye Cku zote
 
Mie mbunge wangu John Mnyika, kila siku yeye kulalamika tu na kusambaza simu za viongozi kwa wananchi ili wawatukane. Ameshindwa kusambaza maji anasambaza matusi
We ni wa Mulugo eeh? Naona ka, una utahaira ivi. Jipe jipe nafasi ya kujistukia. Kilaza we..mbunge wako alijinadi ye Dawasco?
 
Mi Mbunge wangu naona hata aibu kumtaja ila inabidi kwa mujibu wa thread hii. Anaitwa Ndugu....ayiiiiiii!!! Hana udugu huyu. Kila siku anaongea pumba na kugombana na Kisu ( Lissu). Nikisikia kaongea kitu huwa najificha kwanza ili wenzangu wasinicheke!!! 2015 mbali sana.
 
Mimi ninachangamto na wabunge wanaoniwakilisha kwenye majimbo ambayo ninamaslai nayo kama ifuatavyo:,
Mimi nafanyakazi mkoa wa Mwanza ninaishi Pasiansi ambapo nina nyumba huku Mbunge wangu ni Highness Kiwia, huyu jamaa pamoja ni rafiki yangu ,hayupo makini sana kwenye shughuli zake za ubunge.
Huko Mwanza ofisini kwangu ninapofanyia kazi ni mjini kati ambapo ni jimbo la nyamagana hata kura nilipiga nyamagana kwa sababu ndipo nilipojiandikisha, Mbunge wangu hapa ni Ezekiel Wenje, huyu nae simkubali sana ila anajitahidi kidogo.
Mimi ni mchaga wa Rombo,napapenda sana kijijini kwangu na ninajitahidi kwenda huko marakwa mara na nia nyumba yangu nzuri na ndio chumbuko langu, huko ninaye mbunge anaitwa Joseph Selasini, huyu anajitahidi sana kupigania wananchi wa jimbo lake mara nyingi namsikia wakija tembo kutka Kenya, na hata Bungeni huwaga anachangia mara nyingi tena anaongea point, kusema kweli nawapongeza waliomchagua huyu jamaa
Mimi pia ninamakazi ya kudumu Dodoma Mjini maeneo ya are e ipagala . hapa mjini dodoma Mbunge wangu ni David Malole, huyu jamaa waliomchagua wanajuta yupoyupo kama hayupo.this guy is doing nothing at all i am very sad and very disappointed by the people who choose this guy.mimi ni msikilizaji mzuri wa vipindi vya Bunge kusema kweli Sijawahi kumsikia hata siku moja akichangia bungeni, any way labda anachangiaga kwa maandishi.
Mimi pia nina makazi ya kudumu Dar es Salaam Kimara Butcher ambapo mbunge wangu huko ni John Mnyika nawapongeza wote waliompigia kura huyu jamaa, anatuwakilisha watanzania wote Bungeni na ni ndiye Mbunge ninayemfagilia sana kuliko wabunge wote ambao wanagusa maisha yangu kwa namna moja au nyingine wanaposhughulika vizuri kwenye majimbo yao.

Wee utakuwa na baba mchaga na mama mhaya maana duu ati ninanyumba Pasiansi, mwanza mjini, Dodoma,Kilimanjaro tena nzuri, dar pia......umesahau na Kanyigo ........haya mi sina chochote Nina card ya CCM tu ......nani mshindi? Mwaka 2015 tutashinda kwa kishindo huo ndio ukweli na huitaji PhD kujua hilo
 
Wa kwangu ni mbinafsi, visasi na chuki sana kwa wanaomhoji utendaji wake, alijenga ofisi kubwa ya spika jimboni kwake kama vile atakuwa spika wa maisha. Kwa ufupi HAFAI.
 
kaka wasi........ bunda bwana. ila huku maji tele hadi tunamwaga bunda hakuna shida ya maji hadi kwenye mabanda ya kuku. ila byeeeeeeeeeeeee we hv tired wid fake smile
 
sina mbunge natokea wilaya aliko DC Dictator GUNINITA. Mbunge wetu ni bubu anaitwa Prof.Msolla
 
Mwe! Wa kwangu anamabasi tu! Hana muda na maisha ya raia, ila anagawa viposho vijiweni. Yupo mpakan kati ya Moro na Dom...
 
Duu! Lusinde janga la mtera hata nashindwa kumwita mbunge wangu! Msiomfahamu ni yule aliyetukana alumeru na igunga, ni yule aliyesema nitaongoza wananchi kung'oa nguzo za umeme, ni yule aliyetuahid gari la kubebea maiti et wasiumie badala ya ambulance ya wagonjwa,ni yule aliyetuahid majokof ya kuhifadhia maiti, anapenda tufe? Ni yule wa darasa la 4 la zaman,ni mc wa malecela, ni mlopokaji, ni yule anayetukana wafanyakaz hasa walim, ni yule ambaye toka uchaguz hajakanyaga kijijin kwangu,ni yule aliyemwambia jk amsamehe kwa uropokaj kwan ni mgonjwa anayeanza kupona,kimaendeleo hajafanya lolote.
 
Hapa ni jembe Peter Msigwa... linalomnyima usingizi Jangili kinana...
 
Mie mbunge wangu John Mnyika, kila siku yeye kulalamika tu na kusambaza simu za viongozi kwa wananchi ili wawatukane. Ameshindwa kusambaza maji anasambaza matusi

Hahaaa mkuu kumbe tuko jimbo moja.Nimeipenda hiyo yaani badala yakusambaza maji yeye kutwa kucha anasambaza namba za viongozi ili watukanwe utadhani hao ndio waliotuomba dhamana 2010.
 
Back
Top Bottom