Mbunge wangu ana sifa hizi:
i.Ni mbunge aliyekimbia na masanduku ya kura wakati wa uchaguzi
ii.Mbunge aliyejenga nyumba yake kwenye kiwanja chetu cha kujenga soko
iii.Mbunge aliyetangazwa na Fuime kwa maagizo ya JK
iv.Mbunge aliyetangazwa baada ya kuzimwa umeme
v:Mbunge ambaye jimbo lake lina shida ya maji kuliko yote hapa mjini Dar na anatamba hajali maana
hatukumchagua kwani alishinda kwa pesa yake'
Basi mkuu futa machozi ile nafasi naamini F,mpendazoe alipita kwa 2/3