Funguka Mbunge Wako Yukoje?

Funguka Mbunge Wako Yukoje?

Mimi Mbunge wangu ni Mh. John Mnyika, kwa kweli najisikia faraja sana kuwakilishwa naye.... Coz ana nia ya dhati kabisa na Taifa hili pia historia yake ni nzuri hata kabla hajawa MP.

Kila la kheri Brother,,,,,,

TUPO PAMOJA DAIMA.

___________________________________________
CHARITY BEGINS AT HOME.
 
Serikali ndo jukumu lake kwani inakusanya mapato yote,mnyika ana fungu gani la kusambaza maji,akili finyuuuuuuuuuuuuu

Namshangaa huyo aliyemwambia kazi ya mnyika ni kumletea maji nyumbani kwake cjui nani?
Kwanza watu wa kimara tunapata maji mara 3 kwa wiki nwdays,....j4,alhamic na jmos...na niliambiwa hapo nyuma haikuwa hivyo
 
Mbunge wangu ni wa CCm lakini alishawahi kusema "Ukimuona kijana anashabikia CCm jua hana akili nzuri"
images
 
Mimi mbunge wangu ni mzee wa gari moshi la Dar hata jimboni kwake anakuja kwa machale, mji hauna hata standi ya mabasi wakati ni mji wa mpakani, sisi watu kata ya matema tumesahau kuwa na mbunge kwani umeme umepita njiani kwetu na cocoa zetu zimekatwa kwa ajili ya kupisha umeme lakini umeenda kwa wageni wa mji wenyeji chali, kokoa zetu zimeshushwa bei kwasababu na yeye ni mmoja wa wanunuzi, barabra ya mjini mpaka matema beach imejengwa 2km tu kiwango cha rami kwingineko ni majanga ili kutuzuga kuwa yupo kwenye harakati za ujenzi huku kila siku tunamuona kwenye tv akiongelea kuhusu Dar utadhani ni mbunge wa hapo,. Nawasilisha
 
Back
Top Bottom