fungua moyo!


One nite stand???Maybe!But haisaidii,maybe three nite unaweza kushiba!
 

Hahahaha incase hata one night stand siwezi pata, kitu ambacho sio rahisi walahi ni bora nimpe chizi hakyanani
 
Huyu atakuja kupenda mpaka asahau kama alikuwa ameufunga moyo ,iko siku atakutana na mtu na kudhani amekutana na malaika
Niliwahi kusema naapa sitapenda tena..
Baada ya yule niliyempenda kwenda nchi za mbali na kuoa huko huko bila kuniambia ..kisha kunifanyia suprise ya picha za harusi
Sitaki hata kukumbuka
 

Polee!!
 
Maty what about ile ya self fulfillment?

Hahahaha Asha dont take it seriously my dia, kwani ya chizi hiyo nilikua nawekea mkazo tu lol. Bahati nzuri wadada tumejaaliwa kuhimili tamaa za mwili pia nikitaka hiyo kitu siwezi kosa wa kumalizia. Ila kwa yule ndio nasemaga bora ya mwehu kuliko yeye
 
Uliyosema ni kweli kabisa! Na lazima tujue " 'falling down does not mean burial.'".
Sijui kama yupo ambaye hajaumizwa na mapenzi na kama yupo ni heri kwake! Lakini ni kweli atakuwa hajakomaa. La muhimu ni mtu mwenyewe kuikataa hali hiyo na kukubali kuanza upya! NI ngumu sana na ni vigumu kumwamini kila utayekutana naye,lakini how long utakaa katika hali hiyo? jiulize, Tafakari na Chukua hatua!
 
.........Nyie mabinti hebu taratibuni..........mnanichekesha tu humu na mie leo nina mtindio wa mawazo! ctaki.

MJ1 umekumbwa na nini tena jamani:A S-rose:
Wewe ni kati ya watu nisiopenda kusikia wala kuona wanasononeka ....
 
Reactions: Mbu
.........Nyie mabinti hebu taratibuni..........mnanichekesha tu humu na mie leo nina mtindio wa mawazo! ctaki.

Hahahaha lol! MJ1 hivi nakuibia andawea yako halafu unakuja ikuta juu ya kamba yangu, matokeo yake unakua unachukua unavaa halafu unafua unanirudishia pale pale, hiyo si bora utembee without tu lol
 




Hapo blue ni kweli kabisa my dear mi namwambiaga bora nikamgawie chizi kichochoroni kama wa kuwapa wengine watakosekana. Ni kujidhalilisha ati lol. Ila sijui wakoje hawa viumbe wanafikiri wanawake wote ni vipofu !




Hahahaha incase hata one night stand siwezi pata, kitu ambacho sio rahisi walahi ni bora nimpe chizi hakyanani


Maty what about ile ya self fulfillment?!


........Nyie mabinti hebu taratibuni..........mnanichekesha tu humu na mie leo nina mtindio wa mawazo! ctaki.!


One nite stand???Maybe!But haisaidii,maybe three nite unaweza kushiba!


Eiyer Eiyer my brother please don't judge me ni mjadala umetoka mbali mpaka tukafika one night stand...lol
 


Nimekupata dear was enjoying the imagination...lol..
 

waswahili wana methali inasema
hujafa hujaumbika
 
Mkuu Mbu kama umenisemea mimi vile, moyo wangu una ganzi kabisa, nipo jamaa yangu hapa nafanya mambo kumridhisha yeye coz ni mlalamishi sana,usipompigia simu analalamika, usipojibu message analalamika, usipomwambia i love you analalamika,kwa kuwa sipendi kulalamikiwa kila siku imenibidi tu niwe nafanya anayoyapenda ila kiukweli sifanyi kutoka ndani ya moyo wangu sijisikii kabisa kufanya hivyo. kila mda napata hisia kwamba anaweza kunitenda mda wowote, sijui nifanye nini niyafanye yote hayo kwa upendo
 
Halafu huyu Mbu mchokozi sana sijui kaleta hii thread ili iweje, haya banaa Mbu:dance::dance::biggrin1::biggrin1:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…