Fungua hapa ujibu hili swali.

Fungua hapa ujibu hili swali.

ndo ukome kusoma masomo ya kuimba ngonjera na kaswida.

masaburi hayo bila kutaja imani za watu huna raha au ndo mafundisho ya sunday school ya kisujudia kipande cha mti
 
masaburi hayo bila kutaja imani za watu huna raha au ndo mafundisho ya sunday school ya kisujudia kipande cha mti
Unakataa nini na unafanya nini? Naona munaitafuta "ban" kwa udi na uvumba.
 
hesabu ya shule ya msingi ila poa
let Juma be X and Hassa be Y
then x+y=500..........(i) but
x exceed y by 50 then
(50+x)+y=500...........(ii)
solve the equation, here we go, we work for x 1st
x+x=2x then 2x+50=500
2x=450 then x=225 hence
225+50 = 275 take eqn (ii) to calculate y earn. Therefore
(50+225)+y=500 then
y=500-275, y=225
kwa hyo Juma atapata 275 na Hassan 225.
umefanya vizuri lkn nadhani upo nje ya swali
swali linauliza watagawana sh. ngapi? mi naona watagawana sh. 500
ila kila mmoja atapata kama ulivyofanya

let kias atakacho pewa juma be X na hasan be X+50
Then juma +hasan =500
X+X+50=500
2X=450, X=225
juma=225
hasan=225+50=275
safi lakini hiyo ni kila mtu atapata sh. ngapi? ila watagawana sh. 500

twisheni safi
 
hakuna utata,mliosema ni 275 na 225 mpo sahihi kabisa,ngoja niwaajiri mumpe twisheni ya hesabu mwanangu,ananisumbua sana anataka awe rubani,mitihani yake ya hesabu yy huwa anagonga 95 mara nyingi,nataka apige 100 kwani kazi aipendayo haitakiwi akosee mahesabu anaweza kupoteza uhai wa watu
 
hesabu ya shule ya msingi ila poa
let Juma be X and Hassa be Y
then x+y=500..........(i) but
x exceed y by 50 then
(50+x)+y=500...........(ii)
solve the equation, here we go, we work for x 1st
x+x=2x then 2x+50=500
2x=450 then x=225 hence
225+50 = 275 take eqn (ii) to calculate y earn. Therefore
(50+225)+y=500 then
y=500-275, y=225
kwa hyo Juma atapata 275 na Hassan 225.

hapo kwenye red naona kuna makosa ambayo hukuyamaanisha:
ilitakiwa kuwa;
(50+y) + y = 500
au
x+(x-50) = 500
 
Back
Top Bottom