Fungua hapa ujibu hili swali.

hamic mussa

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
227
Reaction score
20
Nna watoto wawili JUMA na HASSAN. Nataka niwape sh 500 wagawane ila nataka JUMA amzidi HASSAN sh 50 tu. Watagawana sh ngapi ngapi?
 
hesabu ya shule ya msingi ila poa
let Juma be X and Hassa be Y
then x+y=500..........(i) but
x exceed y by 50 then
(50+x)+y=500...........(ii)
solve the equation, here we go, we work for x 1st
x+x=2x then 2x+50=500
2x=450 then x=225 hence
225+50 = 275 take eqn (ii) to calculate y earn. Therefore
(50+225)+y=500 then
y=500-275, y=225
kwa hyo Juma atapata 275 na Hassan 225.
 
kichwa kinaniuma
 

we mkareeeeee!
 
let kias atakacho pewa juma be X na hasan be X+50
Then juma +hasan =500
X+X+50=500
2X=450, X=225
juma=225
hasan=225+50=275
 
Maswali mengine ya kitoto sana. Nimemuuliza binti yangu wa std 4 kanijibu ndani ya dakika moja bila hata kushika kalamu. Kweli JF inaelekea kunako. Hili si swali kwa magrit thinkaz bali kwa watoto wa praimare skuli za kata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…