Fungu la Kumi: Ni lazima?

Hiyo bajeti ya kuacha elfu10 kwa siku nyumbani ni bajeti ya walau anayeingiza 1ml kwa mwezi. Mzee unajitesa sana au una familia kubwa?
Familia ya watu wanne tu
 
Biblia imeandikwa na binadamu, mawazo yako ndio Biblia yako. Mf. Hakika nawaambia kwa kupitia kwangu (Yesu) utamuona Baba. Kwa kutumia akili yako ni kweli?
 
Lait km ningekuwepo wakat huyo dogo ananunua sukar vijiko 2 ningeifatilia hiyo familia ili niijue na ningejiwekea utaratibu wa kuwapa elfu tano wastan wa sukar kilo2 kila mwez km sehemu ya fungu la kumi lkn kumpa mchungaj nafsi yangu haina aman kabisaaaaaaa
 
Bila shaka hapew mungu,anayepewa ni mtumish wa mungu kupitia kanisa

Sio lazima iwe hivyo ,mantiki la fungu la kumi ni kuwapa wahitaji ambao ni maskini,wagonjwa na wasiojiweza.
Mungu ni tajiri sana hana shida na hela zako.
Taasisi za dini zimeharibu sana hii mantiki ya fungu la kumi
Nakwambia ukipiga hesabu ya fungu lako la kumi la kila mwezi halafu ukatafuta kituo cha watoto yatima kila mwezi unawapelekea mahitaji yao muhimu ya kiasi hicho naamini Mungu atakulipa maradufu kulipo kuchukua fedha hiyo kwenda kuwapa wachungaji wa aina ya mtume nabii bilionea shila
 

Yaani kabisa mkuu ni kheri kuwapa wahitaji huku mitaani tunapoishi kulipo kuwapa hawa watu wanaojiita mitume mfano wa akina shila
 
Kwa mawazo haya utaendelea kuwa maskini, wewe ni mchoyo Wala na mimi nilikuwaga ka wewe naona kidogo siku nilivoanza kutoa nimeona mafanikio
Km ww ni ke hainishangaz kwa sabab naamin kuna mtu anasimamia baadh ya mahitaj yako na ndio maana unajiona shujaa kwa kumudu hiyo bajet hata mwenzio ni mtoaji mzuri tu wa fungu la kumi
 
Km ww ni ke hainishangaz kwa sabab naamin kuna mtu anasimamia baadh ya mahitaj yako na ndio maana unajiona shujaa kwa kumudu hiyo bajet hata mwenzio ni mtoaji mzuri tu wa fungu la kumi
My point ni kwamba hiyo buku jero unayosevu haitamaliza matatizo yako lakini kama ukimtolea Mungu atakubariki utoke kwenye kipato cha 15 kwa uende kwenye kipato cha likubwa zaidi. Na pia ataondoa majanga kwenye familia hivyo hata hicho kidogo unachokipata kitatosha kumudu maisha yako.
 
Hilo sasa sio fungu la kumi,huo ni msaada ambao Mungu anafurahi tukiwasaidia wengine na anatubariki lakini make no mistakes hilo sio fungu la kumi. Fungu la kumi halina substute.
 
Fungu la kumi linatolewa kwa ajili ya huduma ya kanisa tu.Lakini haikuzuii kutoa msaada kwa watu wengine.Kama unawiwa kuwasaidia wahitaji wasaidie kwa moyo wako wote na Mungu atakubariki lakini tambua hilo sio fungu la kumi hata kama umetoa sehemu ya kumi ya pato lako.

Specific purpose ya fungu la kumi ni kulisaidia kanisa liweze kujiendesha kwa maana ya kusaidia huduma za pale kanisani,kuwalipa watumishi,umeme,maji na gahrama nyingine za huduma.

Cha msingi tujifunze kuwatambua wenye hila na kuwatambua watumishi wa Mungu wa kweli.Tusiache kumtolea Mungu wetu kwa sababu kuna mchungaji somewhere ulimuona miyeyesho.Yule atamalizana na Mungu wake wakati utapofika ila wewe tekeleza linalokupasa kufanya.
 
Wanufaika wa fungu la kumi wameshuka kama mwewe kutetea kipato chao....bwana mdogo fanya maendeleo yako achana na fungu la kumi wala 100, unajitesa bure tu hela yenyewe ndogo...turudi home hapo, hiyo 10k kila siku mnakula nini? Nunua vitu kwa jumla uweke ndan, achana na hii rejareja, utakuwa unaacha pesa ya mboga tu
 
Yaani mkuu ni shida sana haya maisha ya sasa
Fungu la kumi limekuwa la lazima sana siku hizi hata usipoenda kanisani unaambiwa rusha kwa mobile money
 
I started to follow the ideas of Karl Marx since 2000.
Thats the beauty of God.He gave us a free choice.Choose whatever you want to live,worship whoever you want to worship but he will choose who to spend Eternity with him.He gave you that choice and he will have that choice.

The best thing about God he gave us instructions on how can we have the status of being chosen by him.
 
Wapumbavu nyie mtaangamia mpka lin kwa upumbavu wenu??

Huyo Mungu mnae mtolea Kila siku sadaka ni kwann hatosheki?

Mtanyonywa mpka Lin? Mnaambiwa kila siku kuwa hii dunia na kila kitu ni Mali yake, so how come umpe kilcho chake? huoni Kama Kuna mkanganyiko hapo?,

Muumba wa kweli hana haja na sadaka Wala haitaji kitu kinaitwa sadaka, Bali anakuhitaj wew na moyo wako Safi, hizo unazoita sadaka, zibadili jina na uziite msaada then nenda kawapelekee mayatima,wagonjwa, wafungwa, wajane na masikin uone Kama huu mwaka utaisha Bila maisha yako kuwa juu.

Wana dini mnapofeli ni hapo tu kwenye mapokeo ya dini zenu, kuzishika Bila kuhoji, hayo Mambo ya sadaka yalitungwa na mkolon aliyeleta dini, ikiwa ni sabbu ya kutaka kulkuza kanisa na uchumi wa Catholic, bahat mbaya mpka vijidhehebu vilivyomeguka kutoka ktk Catholic navyo vikaendeleza itikadi za mzee wao Catholic.

Dini na maandiko yamechezewa sana, huko mnakokuita makanisan na mnapeleka sadaka Muumba hawatambui, kwakuwa kanisa la kweli ni wew mtu na sio kusanyiko Wala sio hayo magenge yenu mnayotumia kusali jmos&jpili.

Shukran ya pekee,fungu la10,mavuno, zaka, hizo zote ni takataka tu hazina maana yoyote.


Usiponiamini utaendelea kuibiwa mpka mwisho wa maisha yako na baraka utaishia kuzisikia kwa wenzako mwishoe uwaite Freemason.

Ukwel mchungu[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…