THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 1,727
- 3,286
Swala la tozo za mitanado mmelivalia wapi njuga watanzania? Hili swala limepigiwa kelele sana na haohao chadema unaowaona hawafai ila sikia watanzania hatujui swala la katiba kivipi lina umuhimu kwetu hatujui kua hata hili swala la Tozo za ajabu linatokana na katiba kua butu yani watanzania hua tunaanza kuzungumza tu pale tunapoona kitu kimekuja kwetu direct ila hata kama hautokubali wewe na amini watoto wako watakuja kusema kizazi cha Baba zetu kilikua na watu wajinga kuwahi kutokea na katiba wataibadili tu.